TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, March 8, 2013

TUKIELEKEA MWAKA MMOJA KUADHIMISHA KIFO CHA STEVEN KANUMBA

 

540658_385957814768029_159323054098174_78897542_783769027_n
Ikiwa imebaki mwezi mmoja tu kutoka leo 7/3/2013 ili tutimize mwaka mzima tangu tasnia ya filamu na Tanzania kwa ujumla itokwe na “The Great Pioneer” Steven Charles Kanumba. Founder na former managing director wa Kanumba Great Filim maisha yake ya ku-struggle hadi kufanikiwa katika tasnia ya filamu na mazishi yake yaliyochukua attention ya vyombo vya habari na kuhudhuliwa na umati wa watu na viongozi wa serikali. Yote hayo yalileta heshima kubwa kwenye kiwanda cha burudani japokuwa lilikuwa ni tukio la kusikitisha. Tarehe 7/4/2012 nikiwa naamka asubuhi sana mida ya saa 12 kasoro nakuta sms kwenye simu yangu kutoka kwa rafiki yangu akiniuliza “Eti naskia Kanumba amefariki”??, kwa kuamini mimi ni mdau wa habari za burudani aliamini nitampa habari ya uhakika juu ya swala hili lakini lilikuwa limenipita na mimi kwasababu ya kulala mapema sana siku ile. Ikabidi nipitie mitandao ya kijamii nikaona habari zisizo na uhakika kuhusu kifo cha the great. Baada ya kuwasiliana na watu wa uhakika na mimi nikaamini kwamba mkali huyu wa bongomovie ambaye nilikuwa nasubili kwa hamu movie yake mpya kwa wakati huo “Ndoa Yangu”, ambayo alipost picha zake kwenye blog yake akiwa na Jacklyne Wolper zikiwa ni behind the scene wakiiandaa movie hiyo… hatupo naye tena duniani. Baaada ya mwezi mmoja kutoka leo itakuwa ni mwaka mmoja tangu watanzania wengi tulivyomsindikiza kwenye safari yake ya mwisho na wengine duniani kote kutoa salam zao za rambirambi kupitia internet. Je, baada ya mwaka huo mmoja ni nini tunakiangalia katika maisha ya duniani ya Steven Kanumba na hata baada ya kuondoka duniani. Bongomovietz.com tunaangalia mwaka huu bila Kanumba kwa jicho la ziada kama ifuatavyo.
Baadhi ya wadau wanahoji kwani Kanumba kaondoka na bongomovie?
Nini maana hasa ya kusema kwamba kwani Kanumba kaondoka na bongomovie?, kati ya wadau wanaohoji juu ya swali hili wanasema kwamba tasnia ya bongomovie imekuwa kwa haraka zaidi ya bongoflava hakuna ubishi juu ya swala hili. Miaka michache tangu wasanii wengi waachane na kufanya thamthilia na kuahamia kwenye filamu kumekuwa na ongezeko la ajila na kupanda kwa hali ya kiuchumi kwa wasanii husika. Wasanii wengi kutoka vikundi kama Kaole sanaa group, Mambo hayo, Kidedea ambao wanafanya vizuri kwenye movie leo hii hali yao kiuchumi iko juu sio kama zamani. Mfano director na leading actor kutoka RJ Company “Vicent Kigosi” maarufu kama Ray amewahi kukili kupitia kipindi cha Mkasi kwamba enzi za thamthilia kwa mwezi walikuwa wanaweza kupata labda shilingi elfu tano, leo hii Ray huyohuyo ametanjwa na moja magazine za burudani kwamba ni mmoja kati ya waburudishaji mwatajiri Tanzania kwa kuingiza karibia million 300 kwa mwaka ambayo ni sawa na million 25 kwa mwezi ambayo ni mara 5000 ya enzi za thamthilia.
Hapo nilikuwa nakupa mfani hai jinsi tasnia ilikuwa,ukirudi kwenye point ya wadau kwamba Kanumba kaondoka na bongomovie na maana yake kwa undani ni kwamba; Mbona tasnia iko palepale hakuna movement za kuipeleka mbele?. The late Steven Kanumba mungu ampe pumziko la amani huko alipo kwa juhudi kubwa aliyokuwa akiifanya tangu enzi ya zamani ambapo bado watanzania hawajaielewa vizuri tasnia ya filamu. The late great alikuwa kashaanza movement za kuleta link up kati ya Bongowood na Nollywood kwa kuwachukua Mercy Johnson na Bimbo Akintola kutoka Nigeria kwenye movie ya Dar to Lagos. Movie ile ilikuwa ni kama gateway kwa watanzania wengine kufungua mipaka na kuipeleka bongomovie kwenye level hizo lakini haikiwa hivyo. Steven Kanumba himself aliendeleza connection za hapa na pale kufanya movie kadhaa nje ya Tanzania hadi London kwa lengo moja, kuendeleza sanaa yake na pia kuitangaza Tanzania. Ramsey Noah mmoja kati ya actor na director mkubwa Nollywood, alifika Tanzania kwa juhudi za Kanumba na crew yake hatimaye wakafanya movie “Devil Kingdom”, ile ilikuwa epiq kumleta Ramsey hapa bongo.
Swali linakuja je?, baada ya Kanumba kufariki

No comments:

Post a Comment