TANGAZO MAALUM

.
TANGAZA NA SISI
Thursday, March 28, 2013
FILAMU YA MWISHO YA MAREHEMU KANUMBA AKIWA NA SHARO MILIONEA LOVE & POWER IPO TAYARI!.
FILAMU ya Love & Power ambayo ndio kazi yake ya mwisho kuigizwa na msanii wa filamu nguli Bongo marehemu Steven kanumba inatarajiwa kuingia sokoni baada ya msambazaji wa filamu hiyo kuikamilisha na kusema kuwa filamu hiyo itanarajiwa kuingia sokoni mwezi wan ne, filamu ya Love & Power ni kazi ya kipekee kuigizwa na msanii huyo kabla ya umauti kumfika ni filamu aliyorekodi siku za mwisho kabisa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment