TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, September 23, 2012

YALIOJIRI NEW MAISHA CLUB DODOMA KWENYE TRIPLE TOUR NA XTREME DEEJAYZ

 Tibwili la asha ngedere kama kawa lilikuwa liko live new maisha club dodoma kwenye triple tour nite,wanadada hawa walichuana vikali kutafuta mkali wa kucheza na mshindi alipewa laki moja hapo hapo

 Hyperman hk akiwa na boss ngasa ndani ya new maisha club dodoma



 Dvj majey akionyesha utundu wake kwenye triple tour nite maisha club dodoma





 Dj s dizzo akiwa na muwakirishi wa str8 muzik ndani ya new maisha club dodoma

 Warembo wametoka zanzibar mpaka dodoma kwa ajili yakupata radha za dvj majey na hyperman hk


 Hypermaster hk akihamsha kama kawa mashetani na yakipanda watu wanajiachia vyakutosha

 Mashindano yanaendelea

 Mshindi wa pili amechukua begi la kusafiria kutoka str8 muzik

 Na huyu ndio mshindi wa kwanza wa timbwili la asha ngedere akikabidhiwa laki moja





No comments:

Post a Comment