HALI YA SAJUKI BADO TETE
Hali ya msanii wa filamu tanzania juma kilowoko a.k.a sajuki hali yake imebadilika ghafla baadaa ya kuanza kutokwa damu puani na mdomoni.kwa sasa yupo hospital tabata kwa matibabu zaidi
Sajuki akiongea na wasanii wa filamu. wakati amenza kupata nafuuu kabla yakuumwa tena.hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment