TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, August 15, 2012

MJUE CINDY MKE WA PILI WA KOFFI OLOMIDE



Huyu ndio nyota anaeng'aa katika band ya quartier latin,mke halali wa koffi olomide ,CINDY KOFFI. walianza kwa kuficha mapenzi yao lakini mwisho wa siku waliamua kuvunja ukimya pale koffi alipoamua kuweka mambo hadharani,ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa cindy hapo ndio alipomzawadia gari aina ya jaguar baba yake na cindy. kama ishara yakumpa zawadi kwa kumzalia chema. ahahah wewe unasoma hapa mmempa nini mkweo? Cindy mwanadada hatari kwa kuimba nyota yake ilionekana akiwa kanisani akiimba kwaya ndio koffi alipomchukua na kumuimbisha muziki wa dunia badala ya muziki wa kiroho,kitendo icho kiliwaudhi sana viongozi wa dini( mapadri) wakasema koffi anatenda zambi kwakitendo chakumchukua muimbaji huyo wa dini  na kwenda kuimba nyimbo tofauti na nyimbo za dini. koffi alipoulizwa kuhusu ilo alijibu"  kuwa nyie viongozi wa dini ndio mnaongoza kwa kutenda zambi,kuna mengi mnayafanya na tunayaona tunanyamaza cindy amekuja mwenyewe mie sijamfata" alijitetea koffi. mwenyewe upenda kujiita mopao.

Koffi olomode ambae kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumpiga mtayarishaji wake wa video.Kesi iko mahakamani tunasubiria hatma yake itakuwaje.

Cindy chante

Wenyewe ujiita cindy na mopao, hapa kwetu Marehemu kanumba na lulu nao walikuwa wanajiita hivyo hivyo CINDY na MOPAO.na hii nikutikana na the late steven kanumba kumpenda sana mwenendo na maendeleo ya koffi olomide.



CINDY na MOPAO wa bongo soma tweets zao hapo chini chinsi walivyokuwa wanachati na kuitana jina la cindy na mopao kabla ya umauti kumkuta kanumba.




Na kwa  habari za ndani ni kwamba cindy alishawahi kutoka na mkali mwengine ambae alishakuwaga band moja na koffi lakini sasa hivi ana band yake mwenyewe sio mwengine bali ni Fallie ipupa.

No comments:

Post a Comment