TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, August 28, 2012

T.I.D,AUSISHWA NA TUHUMA ZA KUTAKA KUMUUWA ALI KIBA ,OMMY DIMPOZ NA DIAMOND

 Mchana wa leo msanii maalufu wa bongo fleva khalid mohamed a.k.a t.id amefikishwa kituo cha police kwa tuhuma za kutaka kumuuwa msaniii wa bongo fleva ali kiba.inavyosemakana tuhuma hizo zimefikishwa baada ya kukamatwa mwanadada ambaye alijifanya anampenda ali kiba kimapenzi kumbe sio kweli ana yake moyoni baada ya  moyoni kiliendelea kutupa habari chanzo chetu, msichana huyo alianza kumtaja t,i.d kuwa ndio aliemtuma kwenda kutaka kujaribu kufanya tukio hilo.na chakushangaza zaidi baadae msichana huyo aliwataja wasanii wengine ambao watafata kuuwawa baada ya ali kiba ni Diamond platnam na Ommy dimpoz.  mpaka asubuhi hii t.i.d bado yupo mikononi mwa police akiojiwa zaidi kuhusu tuhuma hizo.
 hapa kiba kama anasema wanataka kunishoo.......t   kwasababu muziki wangu sio bazoka kama wako.
 khalid mohamed a.k.a t.i.d
 Mie sina ugomvi na ali kiba wala nini tangu nizaliwe sijawahi kugombana na ali kiba wala kurushiana nae maneno inakuwaje leo hiii nipate tuhuma hizi? alisema t.i.d hili nimesingiziwa na naomba huyo dada apimwe akili sidhani kama ana akili vizuri.
 diamond akiwa na ommy dimpoz ambao nao walikuwa wafuate baada ya ali kiba kwa mujibu wa chanzo chetu.
.Dimpoz akiwa na ali kibba

No comments:

Post a Comment