::XDEEJAYZ-TANZANIA::
TANGAZO MAALUM
TANGAZA NA SISI
Wednesday, July 27, 2016
KIMENUKA: UKAWA KWAWAKA MOTO, WAFUASI WA VYAMA HIVYO WAWASHUKIA MEYA WA JIJI/KINONDONI, HALIM MDEE AHUSISHWA NA TATIZO HILO..!
Mstahiki Meya wa manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob "UKAWA"
Mheshimiwa Halima Mdee Mbunge wa Kawe- CHADEMA
Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni Ally Hapi Salum
Isaya Mwita wa Chadema, Meya wa Jiji la Dar es Salaam "UKAWA"
Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Mashabiki na wafuasi wa vyama vilivyoungana UKAWA wamekuja juu na kuwataka viongozi wao wanashikiria nyazifa mbalimbali za kuwaongoza wananchi waachane na maneno badala yake wapige kazi ionekane ili wananchi waendeee kuwa na imani nao.
Wakiongea na mwandishi wetu juzi maeneo ya Kinondoni jirani na yalipo makao makuu ya Chadema walisema kuwa " Ndugu mwandishi sisi ni wafuasi wa Ukawa lakini kwa sasa tunachowataka viongozi wetu waingia mtaani kutatua matatizo ya wananchi na kero zao kwa vile wanamamlaka ya kufanya hivyo kutokana na nafasi walizonazo" Alisema
Timoth Nyang'andu ambaye anatokea mkoani Singida.
Wafuasi hao waliongeza kusema kuwa kwa sasa viongozi hao waachane na habari za malumbano na Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa kupinga kauri anazozitoa kwa maana kufanya hivyo ni sawa kama wamekosa mawazo endelevu ya kuwasaidia wananchi.
Mashabiki hao wameomba Mwenyekiti wa Chama hicho Kitaifa Mheshimiwa Freeman Mbowe atumie mamlaka aliyonayo kuwasihi viongozi waliopo chini yake nchi nzima kuachana na malumbano wapige kazi 2020 sio mbali kwani CCM wanajipanga kurudisha nafasi hizo hivyo njia watakazopitia CCM ni kuangalia mapungufu yaliyofanywa na Mamea hao nk.
Wakipiga mfano mgogoro wa Nyaksangwe kata ya wazo ambao kimsingi ni kama umemalizika kutokana na pande zote kati ya wenye mashamba na wakazi hao kukubaliana kumaliza hivyo ni nafasi pekee ya mamea Isaya Mwita wa Chadema, Meya wa Jiji la Dar es Salaam "UKAWA"
Mstahiki Meya wa manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob "UKAWA" na Halima Mdee wanaweza kutumia nafasi hii vizri ya kushika nyazifa hizo kumaliza mgogoro huo uliouwa watu wengi sana miaka 7 iliyopita.
Halima Mdee Mbunge wa Kawe mgogoro huu unamuhusu sana kutokana na kuwa eneo lake na anaufahamu vizri mgogoro huu na anajuwa kabisa kama wapiga kura wake waliwahi kupoteza maisha wakigania haki yao hivyo ahusishwe pamoja kumaliza tatizo hilo ambalo Mheshimiwa Makonda walishaweka njia nzuri ya kumaliza mgogoro huo.
Mstahiki Meya wa manispaa ya Kinondoni Boniface Jacoblicha ya hivi karibuni kufanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo hilo lenye mgogoro na kupokelewa na maelfu ya watu na kujione auharibifu mkubwa uliofanywa na mafisadi ardhi hao waliotumia pesa zao kuwaangamiza wananchi hao kwa kutumia Jeshi la Polisi na mabaunsa na aliahidi kama miezi miwili isingepita ofisi yake ingeanza kugawa hatimiliki ya viwanja hivyo kwa kila mkazi mwenye eneo hilo ili watu wawe na uhakika na viwanja vyao lakini hadi leo kimya.
Source: Maskanibongotz
Thursday, June 9, 2016
MGANGA WA MASTAA AITWA NCHINI MAREKANI, WAZUNGU WAPAGAWA NA DAWA ZA MITI SHAMBA ANAZOWAPATIA WA2. WASEMA TANZANIA YATAKIWA KUJIVUNIA KIPAWA ALICHOKUWA NACHO..!
Dokta Kamdege maarufu kama Mganga wa mastaa akiwa kwenye ufisi yake Mkoani Tabora Wilaya ya Sikonge kijiji cha Lukanga
Dokta Kamdege maarufu kama Mganga wa mastaa akiwa kwenye ufisi yake Mkoani Tabora Wilaya ya Sikonge kijiji cha Lukanga
Dokta Kamdege maarufu kama Mganga wa mastaa akiwa kwenye ufisi yake Mkoani Tabora Wilaya ya Sikonge kijiji cha Lukanga. huku kwa juu kukionekana kama antena ambazo maalum kwa kunasa watu wenye hila mbaya.
Na Shabani Fugusa- Tabora
Mtaalamu wa miti shamba Tanzania anaetambuliwa na chama cha waganga wa tiba za asili Tanzania na mwenye leseni Dokta Kamdege hivi karibuni ataondoka nchini kuelekea nchini Marekani kwa ajiri ya kwasaidia watu wa huko kwenye maradhi mbalimbali yanayowasumbua.
Akiongea na maskanibongotz toka Tabora mganga huyo alisema kuwa baada ya kufanikiwa kuwaagua wazungu wengi kwa dawa zake za miti shamba hatimae amepewa mwariko wa kwenda nchini huko.
Aidha Dokta Kamdege ambae pia amekuwa akitumiwa sana na baadhi ya viongozi wa vyama na mastaa wa bongo movie kuweka sawa mambo yao kwa kutumia miti shamba tu hivi karibuni alitingisha jiji la Bunjumbura kwa kuwasaidia wagongwa walishindikana.
Dokta Kamdege amekuwa akitumia miti shamba kuwasaidia watu walikwishafanyiwa mambo ya kichawi katika maisha yao na kukosa mafanikio, kupandishwa vyeo, kujikinga na wachawi, kung'arisha biashara na kuwa na nyota ya ajabu kwenye mambo yote unayoyafanya katika maisha yako kiasi cha kuwashangaza watu wanaokuzunguka.
Aidha Dokta Kamdege amefanikiwa kuwasaidia hata waliokuwa hawapati watoto au kupata wachumba, kukosa mafanikio licha ya kufanya kazi sana lakini kipato hakionekani, hali hiyo imepelekea Mkoa wa Tabora kuwa na ongezeko la watu wanaofika kwake kupata tiba hizo na kusafishwa kupitia miti shamba tu na sio uchawi kama wanavyofanya waganga wa mjini.
Kamdege alisema kama yupo anaehitaji msaada kwenye mtatizo aliyoyaanisha hapo juu basi apige simu hizi 0763-146231, 0788-844490 na ataongea na yeye moja kwa moja na sio lazima usafiri kumfuta Tabora hapana huko huko aliko atakusaidia...!

Wednesday, June 8, 2016
RC PAUL MAKONDA KIBOKO, APEWA SHAVU JINGINE LA MAANA, WAZEE NA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WATOA KAURI NZITO.
BAADHI YA WANANCHI WALIPOTEZA NDUGU ZAO WAKIWA NA MABANGO YA KUMPONGEZA RC MAKONDA KWA JUHUDI ZAKE ZA KULETA AMANI ENEO HILO.
RC MAKONDA AKIWA AMEZUNGUKWA NA MABANGO KIPINDI AKIWA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MWAKA JANA.
RC MAKONDA AKIWA MTAA WA NYAKASANGWE KWENYE MOJA YA MIKUTANO YAKE KWENYE UTATUZI WA MGOGORO WA ARDH KATI YA WANANCHI NA MAFISADI WA ARDHI. |
JOYCE ASENGA MWANAHARAKATI ASIYEKUWA NA CHAMA AMEMPONGEZA RC MAKONDA KWA UTENDAJI WAKE KAZI HASA KWENYE UTETEZI WA WATU WANYONGE AMBAO WALIKUWA WAMEKOSA MATUMAINI NA SERIKALI YAO.
Na Livingstone Mkoi
Nyota ya mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda imeendelea kung'ara baada ya wakazi wa kata ya Wazo mtaa wa Nyakasangwe na Nyakalekwa kuiomba Manispaa ya Kinondoni kuruhusu mitaa hiyo kuitwa jina la Makonda kutokana na kazi kubwa aliyoifanya wakati akiwa mkuu wa Wilaya hiyo.
Wakiongea na Maskanibongotz/ Sadicktv wakazi wa maeneo hayo kwa nyakati tofauti walisema ‘Mheshimiwa Makonda amefanya jambo kubwa sana kurejesha amani iliyokuwa imepotea hadi kusababisha maafa kwenye mgogoro wa ardhi katika eneo letu’ , eneo hilo awali lilikuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe kwa kutumia siraha za jadi kama mishale, mapanga na visu baina ya watu wanaosadikika kumiliki maeneo makubwa na wakazi ambao wamekuwa wakiishi hapo kwa muda mrefu,kitu ambacho kilipelekea hata jeshi la Polisi kushindwa kuthibiti kwa wakati.
Baada ya kuteuliwa Ukuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ziara yake ya kwanza ilikuwa eneo hilo ambapo siku ya kwanza alifika katika eneo hilo na gari zisizopungua saba za Polisi na kufanya mkutano ambapo aliwaaahidi wakazi hao kuwa atapigana kufa na kupona kuhakikisha wakazi hao wanapata haki yao ya kupata ardhi lakini na kurejesha amani iliyokuwa imepotea.
Makonda alianza kuunda kamati iliyoshirikisha sehemu tatu, moja ilikuwa ni ya watu wanaojifanya wenye mashamba, mbili ya wakazi wa eneo hilo na tatu iliyokuwa chini yake na baadaye alikaa chini kukubariana wafanye uhakiki kwanza wa maeneo hayo ili kubaini ni kweli watu hao wenye mashamba wanachokisema kuhusu ukubwa wa maeneo yao ni sahihi.
Zoezi la kuhakiki lilianza mwaka jana lakini ikabainika madudu makubwa kwani watu wanaosema hayo ni mashamba yao walionekana kufanya udanganyifu wa hali ya juu kwa kile kilichoonekana kwamba wamejiongezea maeneo kinyemela tofauti na vile ambavyo inaonyesha katika michoro, hivyo kupelekea kazi sasa kuwa rahisi kugawa haki kwa wakazi wa eneo hilo.
Hata hivyo zoezi hilo kwa sasa limesimama tangu Makonda apande cheo huku wananchi wote wa eneo hilo masikio yao, macho yao na akili zao zipo kwa Mkuu huyo wa Mkoa ambaye ndiye wanayemtegemea kutatua tatizo hilo, huku wakiamini ya kwamba hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watu hao wenye mashamba kwa mambo matatu, la kwanza walisababisha mauji ya watu saba wakati wa mapambano kipindi walichokuja kuvunja eneo hilo, na suala jingine ni nani aliyewapa mamlaka ya kuwavunjia watu nyumba zao pamoja na kuharibu mali zao zenye thamani ya mabilioni ya pesa na la mwisho uongo wa kumdanganya Makonda na vyombo vya sheria.
Kwa sasa hali ni shwali katika eneo hilo, kinachosubiriwa ni hatua zichukuliwe dhidi ya waharibifu, lakini amani ambayo wanaipata Wananchi wa eneo imewafanya watoe ya moyoni kwamba pasipo Paul Makonda hawajui mpaka leo wangekuwa katika hali gani ‘Tulijiona si Watanzania tena, Makonda ametufanya tufurahie amani ya nchi yetu, kwa sasa tunaishi kwa amani sana, tunaomba Serikali itusikie, hatuna cha kumpa Makonda, lakini ni heshima kwetu kuona eneo hili linapewa jina lake, hii itatosha kuwaambia watu wote na vizazi vijavyo kazi nzuri aliyotufanyia Kijana huyu’, walisema Wazee wa eneo hilo.
Katika hatua nyingine Viongozi wa Dini wa eneo hilo, wamesema ya kwamba kuna wakaTI Mungu anawatumia watu wake kuokoa, kwa nyakati tofauti Viongozi hao wamesema unaposoma maisha waliyoishi mitume na manabii, utapata kuona jinsi ambavyo walitumwa na kupambana pale inapotokea kwamba eneo fulani linakosa amani, eneo hili awali Mkuu wa Mkoa aliyepita Mecky Sadick alikuja lakini hakuweza kumaliza tatizo, tumeona alichofanya Paul Makonda, tunasema huyu alitumwa kuhakikisha anarejesha amani ya Nyakasangwe na Nyakalekwa, tunamuombea kwa Mungu na hakika anastahili heshima hii ambayo wakazi wa eneo hili wameamua kumpa.
Source Maskanibongotz
Sunday, June 5, 2016
MIUJIZA YA MCHUNGAJI MZOLA YAWASHANGAZA MADAKTARI BINGWA, WENYE UKIMWI, UKICHAA WAPOKEA UPONYAJI WA PAPO HAPO, WAGUMBA NAO WAPATA WATOTO, WATU WAZIDI KUMIMINIKA HATA NAFASI ZA KUKAA HAKUNA...!
Mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana Msigani maarufu kwa jina la NGOMA YA YESU MSIGANI lililopo Wazo Jijini Dar
Mmoja wa wagonjwa ambae ameacha kitanda na kwenda kwa Mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana Lililopo Nyakasangwa kata ya Wazo kwa ajiri ya kupata huduma ya uponyaji wa kweli.
Na Mwandishi Wetu
Hakika Mungu hutumia watumishi wake kufanya maajabu, hivi ndivyo tunavyoweza kusema. Mchungaji wa Kanisa la Hosana Msigani, Mzola ameendelea kuushanga ulimwengu kutokana na nguvu ya ajabu aliyokuwa nayo ya kuponya watu wenye magonjwa sugu yakiwemo Ukimwi, Kansa nk.
Mchungaji huyo mwenye kanisa dogo tu lililopo Waza mtaa wa Nyakasangwe Msigani lakini amekuwa akifanya mambo ya kushangaza watu kutokana na nguvu ya upako aliyokuwa nayo.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wagonjwa wengi kwa sasa toka Hospitali mbalimbali za Jijini Dar na nje ya Dar wenye magonjwa yaliyoshindikana wameamua kuacha vitanda na kukimbilia kwa amchungaji huyo tena wakiwa kwenye pikipiki kwa msaada lakini wakanyagapo kwenye ardhi ya kanisa hilo tu, basi hupata uponyaji wa papo kwa hapo.
Hata hivyo mchungaji huyo amewaomba watanzania popote walipo Duniani wasisubiri kifo kiwakute kwa matatizo yanayowasumbua na hata kwa magonjwa sugu kama Ukimwi, Kansa, kichaa, Ugumba, kutokupata mafanikio kwenye biashara nk wawabebe watu wao na kumlekea ili awape dozi ya Yesu Kristo kwani lisilowezekana kwa binadamu linawezekana kwa Mungu.
Mchugaji aliongeza kusema" Wabebeni wagonjwa wenu na kuwaleta hapa kwenye dozi isiyokuwa na gharama Mungu hashindwi jambo" Alisema na kutoa namba yake ya simu 0713-161785 kwa watu wasioweza kufika kanisani kwake atawapatoa dozi hiyo kwa njia ya simu na watapokea uponyaji huko huko walipo bila gharama yoyote.

Sunday, May 29, 2016
MSANII AFANDE MACHEMBA AWACHANGANYA MASTAA WA KIKE BONGO MOVIE, YUPO CHUCHU HANSI. RAY MMH MAJANGA MATUPU...!
AFANDE MACHEMBA AKIWA MZIGONI NA CHUCHU HANS, AMBAPO MSANII HUYU WA KIUME AMEONEKANA KUWA NA NYOTA YA AJABU KWENYE TASNIA YA BONGO MOVIE KUTOKANA NA KIPAJI CHA HALI YA JUU ALICHOKUWA NACHO.
Ray na Chuchu
Na Mwandishi Wetu
Kitendo cha mastaa mbalimbali wa filamu Tanzania kutaka kufanya kazi pa1 na msanii chipikizi anaekuja kwa kasi ya kimbunga kwenye tasnia hiyo Joseph Machemba " Afande Machemba" kimeendelea kumuweka kwenye wakati mgumu msanii huyo.
Akiongea na maskanibongotz Machemba alisema " Kaka hakika Mungu ni mwema na sijui nimpe nini huyu Mungu wangu kwa matendo yake makuu hadi nashangaa kwa baraka zake ambapo licha ya uchanga wangu kwenye tasnia hiyo lakini napata kazi kubwa ambazo zote naigiza na mastaa ambao kiukweli hakuna asiyekubari kazi yangu" Alisema Machemba
Msanii huyo ambae ni msukuma wa Shiyanga aliongeza kusema hali hiyo ya kupata kazi kila siku imemfanya kuwa busy na uigizaji kiasi cha kukataa kazi za watu wengine kutokana na ratiba inavyombana.
Afande Machemba aliendelea kueleza kuwa hadi sasa ameshacheza filamu nyingi na tayari mlango wa mafanikio ameanza kuuona " Kaka msema kweli mpenzi wa Mungu tayari nimeanza kuonja mafanikio ya sanaa nilianza kucheza filamu bure lakini kwa sasa nalipwa tena naweza kusema hela ndefu, nina washukuru wasanii wenzangu hasa mastaa wote hakuna ambae hanikubari kila filamu natakiwa nishiriki" Alisema msanii Machemba hadi sasa ameshacheza filamu nyingi sana ikiwemo Chobo Dundo, Smart Phone, Handsome Fake, na nyingine ambazo zote zipo madukani na yeye akiwa ametumia jina la Afande Machemba.
Saturday, April 2, 2016
HATARI KUBWA: WANANCHI WALIOKUNYWA MAZIWA YA FISI WAKIDHANI YA NG'OMBE WAINGIWA HOFU MKOANI TABORA, DOKTA KAMDEGE KUHOJIWA NA JESHI LA POLISI. MASKANIBONGOTZ INAKUPA MKASA MZIMA...!
HAPA MKUU WA KITENGO CHA HABARI ZA UCHUNGUZI TOKA E-FM RADIO KULIA BW LIVINGSTONE MKOI AKIONESHWA MLIMA AMBAO NG'OMBE HAO WALIOGEUKA FISI WALIPOKIMBILIA BAADA YA KUGEUKA KUWA FISI MKOANI TABORA NA ANAETOA MAELEKEZO HAYO NI KIJANA ALIYEKUWA AKIWACHUNGA NG'OMBE HAO WA KICHAWI.
HAWA NI BAADHI YA NG'OMBE HALALI WALIOBAKI BAADA YA WENGINE KUGEUKA KUWA FISI.
MAHARA HAPA NI SEHEMU YA ZIZI LA NG'OMBE WALIOKIMBILIA MSITUNI BAADA YA KUGEUKA KUWA FISI KWENYE KIJIJI CHA UKANGA WILAYA SIKONGE MKOANI TABORA
MCHUNGAJI WA NG'OMBE HAO ALIYEJITAMBULISHA KWA JINA LA MUSA MAJIHA AKIHOJIWA NA MWANDISHI WETU BW LIVINGSTONE MKOI HAYUPO PICHANI
DOKTA KAMDEGE MTAALAMU WA MITI SHAMBA AKIWA NJE YA OFISI YAKE MKOANI TABORA TAYARI KUELEKEA KWENYE KIJIJI KISANGA NJE KIDOGO YA WILAYA YA SIKONGE KWA AJIRI YA MPAMBANO NA KUWATOKOMEZA FISI HAO.
HII NDIYO OFISI YA DOKTA KAMDEGE KAMA INAVYOONEKANA.
Na Waandishi wa maskanibongotz- Tabora
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni hivi ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia mzee mmoja Mkoani Tabora amekuwa akiwanywesha watu maziwa ya Fisi zaidi ya miaka 25 sasa, huku watu wengi wakidhani ni Ng'ombe huku maziwa hayo yakiwa matamu kupita kiasi.
Tukio hilo la kushtua lililoripotiwa na kituo cha E-fm Radio hivi karibuni, ambapo katika habari hiyo wakazi wa Kijiji cha Ukanga kilichopo Wilaya ya Sikonge wakimlalamikia mzee huyo wa kisukuma kwa tukio alilowafanyia.
Habari zaidi zilieleza kuwa mtaalamu wa miti shamba Dokta Kamdege ndiye aliyegundua kuwa maziwa hayo si halali baada ya wananchi eneo hilo kumuita mtaalamu huyo kwa ajiri ya kuwasaidia mambo mengine lakini akiwa huko aligundua tatizo la maziwa hayo ya fisi.
Mzee huyo alikuwa na ng'ombe zaidi ya mia na hamsini huku ng'ombe halali wakiwa 50 tu na mia wakiwa ni fisi pamoja na watoto wao ambao kwa macho ya kwaida walikuwa wanaonekana ni ndama wa ng'ombe.
Hata hivyo baada ya mganga huyo kugundua hali hiyo wananchi waliitisha mkutano mkubwa na kumuomba mganga huyo awasaidie kuhusu tatizo hilo, ndipo alipokwenda kwenye zizi la mganga huyo lakini walikutana na mtihani mkubwa kwani mzee huyo alikuwa ametega umeme kwenye zizi hilo na ukamnasa mmoja wa wasaidizi wa Dokta Kamdege hadi kupoteza fahamu kwa muda kabla hajapatiwa huduma ya kwanza.
Kwa mujibu wa Dokta Kamdege alisema umeme huo ulikuwa wa kichawi kwani katika eneo hilo la polisi bado hakuna maendeleo ya umeme, hivyo ndipo walipomwaga dawa zake kisha ng'ombe hao walianza kugeuka fisi kisha kukimbilia polini na kubaki wale ng'ombe hamsanini halali.
Kutokana na tukio hilo kuna uwezekana Dokata Kamdege akahojiwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo ili kujua kama maziwa waliyokunywa wananchi hao yana madhara ama laa, kwani Serikali haiamni uchawi lakini yeye ndiye mtu aliyegundua hayo.
Akiongeo na matndao huu kwa simu namba 0788-844490 Kamdege alisama " Ndugu mwandishi haya ni mambo ya kishirikina hata mimi imenihudhunisha sana kuona wananchi wakinyweshwa maziwa ya fisi hali ambayo sisi tuliojaliwa na Mungu kuwa na vitu vyema kichwani ni lazima tuwasaidie na haieleweki kama watakuja kudhurika ama laa" Alisema Kamdege
Na pia alitoa uwito kwa watanzania mahali popote kama kuna mambo ya ajabu wanafanyiwa au wanahisi kama maisha yao hayaendi vizuri, mipango wanayoipanga hatimii basi wawahi kumjurisha ili awasaidie hayo yote yanafanywa kutumia miti shamba tu wala sio uchawi au ndumba, pia hata kukwamba kwa biashara. maradhi yalishindikana, kushindwa kupata kazi licha ya kwamba watu wengi wamesoma na kuwa na ujuzi lakini wabaya wameziba ridhiki basi hayo yote yanafunguliwa kwa dawa maalum za miti shamba.
Hata hivyo wananchi hao kwa nyakati tofauti walisema kuwa hadi sasa wana hofu kutokana na kunywa maziwa hayo kwa kipindi kirefu hivyo wasi wasi wao huenda yakawaletea madhara siku za usoni
Credit: Maskanibongotz
Subscribe to:
Posts (Atom)