Mwanamitindo nyota toka Kenya, Vera Sidika "Vee S Beiby" ambae kwa sasa amenasa kwenye penzi la Kigogo wa Ikulu.
MR& MRS
Na Livingstone Mkoi
Ikiwa imepita miezi kadhaa tangu habari zivuje kuwa yule kigogo wa Ikulu aliyefahamika kwa jina la Clement,kuchukua vitu vyake kutoka kwa msanii Wema Sepetu na kudaiwa kumpiaNaima ambaye alikuwa ana mahusiano na mdogo wake, habari zinasema kuwa kama ilivyo kwa Wema, Mrembo huyo naye kapigwa chini na mali zake kahamishiwa Mtoto wa Kikenya.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika ambacho kiko karibu na shoga wa Naima kilisema kigogo huyo ameamua kumpiga chini Naima kutokana na kuvuja kwa picha zake za uchi na tayari ameshanyang'anywa kila kitu alichopewa pamoja zile Computer alizonyang'anywa Wema.
Chanzo hicho kiliendelea kumwaga mboga na kusema kuwa" Unajua yule kigogo kweli alikuwa amempenda sana Naima kwani alishatuma hadi barua ya posa kwao Tanga lakini kilichoharibu ni kuvuja kwa picha za utupu ambazo zilimkasirisha sana bwana ake huyo kiasi cha kuchukua hatua za kumchinjia baharini.
Hata hivyo habari mpya zilizolifikia gazeti hili zilisema kuwa kibopa huyo amehamia kwa "video queen" na mwanamitindo nyota toka nchini Kenya, Vera Sidika "Vee S Beiby" ambaye ni maarufu sana nchini Afrika Mashariki na kati kutokana na kushiriki video nyingi za mastaa kama Prezzo na kundi la P-Unit.

CRDT: MASKANI BONGO
No comments:
Post a Comment