JE UVAAJI CHENI MIGUUNI ZINA UHUSIANO GANI NA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE WADAU WANATAKA MAONI YAKO HAPA NAJUA WEWE NI MZOEFU SANA WA HAYA MAMBO EBU TUPITA MAELEZO YAKO!
Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni.
Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji
anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na maumbile, au
analika pande zote tetesi hizi zimeleta mchanganyiko kidogo kwenye
urembo huu. Je wewe unafahamu vipi kuhusu hilo na je kuna ukweli ndani yake? Nitupie maoni yako kwenye simu namba 0713-575718, tuma sms tu usibeep pleas..!
No comments:
Post a Comment