TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, March 26, 2014

KIONGOZI WA KUNDI LA WATOTO WA MBWA ALIVYOTEKETEKEZWA NA MOTO HADI KUWA MAJIVU, KUMBE YADAIWA ALIWAHI KUWA BONDIA WA JESHI KABLA YA KUTUMULIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, ALIKUWA NA UWEZO WA KUKABA WATU SITA PEKE YAKE..!

WANANCHI WA MAGOMENI SOMANGA WAKIUTIZAMA MWILI WA ROGER.
AFSA WA POLISI WA KITUO CHA MAGOMENI AKIUUTIZAMA MWILI WA ROGER.

Na Livingstone Mkoi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua kumbe yule kijana aliyeuliwa juzi maeneo ya Magomeni mtaa wa Somanga kwa tuhuma za uwizi siri imevuja kumbe aliwahi kupitia jeshi la wananchi kwa kuwa Bondia kabla ya kutimuliwa kwa utovu wa nidhami.
Habari zaidi zilisema kuwa kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Roger maarufu kama Mjeshi Tosha alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kukaba kwani alikuwa na uwezo wa kukaba watu sita peke yake hakuna aliyeweza kufanya fyoko.
CRDT: MASKANI BONGO

No comments:

Post a Comment