TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, March 26, 2014

MUNGU WANGU, HII NDIYO HABARI KAMILI YA MTOTO WA MIAKA 7 ALIVYOLAWITIWA NA KUBAKWA NA BABU HUYU WA MIAKA 62 INATIA HURUMA SANA..!




Hamida Mlima na Zuwena Nyembo
Kwa hali isiyo ya kawaida kika kukicha matukio ya aina hii yanazidi kutokea bila hata ya sheria kuchukua hatua na kuishia watuhumiwa kukamatwa na kutolewa nje kwa kutoa rushwa,Mtoto wa miaka (7) Hatma Abdillah mwanafunzi wa Baraka Nursary iliyoko maeneo ya Chanika amejikuta katika maumivu makali yaliyopelekea kurazwa kutokana na Kubakwa na kuingiliwa kinyume na maumbile na jirani yake aliyetambulika kwa jina la Mfaume Kassim mweye umri wa miaka (62)
Akizungumza na Maskani Bongo mtoto huyo alisema kuwa alikuwa anatoka Madrasa yeye na wanafunzi wenzake walipofika kwenye nyumba ya mfaume wenzake walikimbia kwasababu mfaume alikuwa anawakimbiza kwakuwa yeye hakuwa na uwezo wakukimbia alifanikiwa kumkamta nakuingia nae ndani.
“Wakati tunatoka Madrasa tulikuwa na wenzangu tulipopita kwenye nyumba ya mfaume yeye alitoka nje nakuanza kutukimbiza mimi na wenzangu tulikimbia lakini alikuja kunikamta mimi tena kwa nguvu akanipeleka ndani kwake akaniziba mdomo,akasema nikipiga kelele atanichinja akanivua nguo akawaananiingilia kwanguvu mimi nikawa nalia akasema ukienda kumwambia mtu yeyote nitakuuwa,mimi naomba nisaidiwe yeye auliwe’alisema Mtoto huyo.

CRDT:MASKANI BONGO

No comments:

Post a Comment