Hii
ndio Hotel ya kisasa ambayo ipo hatua za mwisho ni kisasa ambayo ipo Dodoma Mjini kabisa ni hotel ambayo yenye madhari
nzuri sana na tulivu, Ni hoteli ambayo inajitosheleza kwa huduma zake,
na pia ina hadhi ya hali ya juu sana, Morena hotel ambayo inamilikiwa na
Mh Mbunge Shabiby ambaye ni mbunge wa Gairo, Hakika Mh shabiby
anastahili pongezi kwa kutoa fursa ya kutosha kwa vijana wa Dodoma na
Nchi nzima,na pia bado anaendelea kutoa fursa za kutosha, kwa upande
wangu napenda kumpongeza Mh Shabiby kwa swala hili:"HABARI ZAIDI USIKOSE KUSOMA GAZETI LA MASKANI BONGO KESHO" |
No comments:
Post a Comment