TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, March 11, 2014

MENEJA WA NIGHT CLUB YA V.I.P YA IRINGA ANUSURIKA KULIWA KIBOGA KISA ULEVI. WALINZI WAMNUSURU..!

 Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa  amezima baada ya kunya viroba na kisichana kwa  kuonyesha uwezo  wake na baada ya dakika 20 akazima kama hivi ,hapa nalazimika  kukumbuka ule ujumbe wa  chonde chonde! ulevi Nomaaaaaaaaaa!?



 Mlinzi  wa eneo la TFA akijaribu kumsaidia baada ya polisi kufika na kuamua kumwacha kutokana na ugonjwa wake wa pombe kutokuwa na daktari wa kutibu

 
 

 Hapa idadi ya walinzi  ikiendelea  kuongezeka eneo la tukio mjini Iringa usiku huu

Ukisema ulevi noma wapo watakaosema ulevi ni sehemu ya kupoteza mawazo ila kwa tukio hilo kila mmoja anaweza ungana nami kuwa kweli ulevi noma hapa ni eneo na TFA mjini Iringa ambapo meneja  huyu wa Club ya V.I.P akiwa amezima kwa kunywa pombe kupita  kiasi.
Hata hivyo hali hiyo imepelekea kunusurika kuliwa kiboga kutoka kwa wahuni.
"USIKOSE KUSOMA GAZETI LA MASKANI BONGO LEO JUMATANO" 

No comments:

Post a Comment