Mjerumani akiseti Vifaa ndani ya Redio ya 93.7 Fm iliyopo Kawe Beach Jijini Dar es Salaam
Vifaa ndani ya Redio ya 93.7 Fm iliyopo Kawe Beach Jijini Dar es Salaam
93.7 Fm iliyopo Kawe Beach jinsi itakavyoonekana.
Na Livingstone Mkoi
Maandalizi ya ufungaji vifaa vipya vya studio ya kisasaa
ya
Radio ambayo bado haiwekwa wazi lakini itakuwa
inapatikana kwa
kwenye masafa ya 93.7 Fm yanaendelea kwa kasi kubwa huku watalaamu toka nchi ya Ujerumani wakihusishwa.
Paparazi wetu alifanikiwa kufika kwenye studio hizo na
kujionea vifaa vya mitambo ya studio hiyo ambayo kwa
mujibu wa Wjerumani hao Tanzania itakuwa ya kwanza kutumiwa na
radio hiyo mpya ya burudani nchini.
Hata hivyo habari zaidi zilisema Wajerumani hao ambao
sasa wana wiki ya pili wakifanya kazi hiyo usiku naa mchana na tayari wako
kwenye hatua za mwisho na muda wowote Jiji la Dar na mikoa ya jirani kitanuka
vibaya kutokana na kuwaa hewani kwa redio hiyo inayotarajia kusikika mikoa
zaidi ya saba kwa maraa ya kwanza.
Aidha mmoja wa wadau wa redio hiyo ambae aliomba hifadhi
ya jina lake alisema " Kiukweli kwamba hali si swali kwa sasa jiji
limeanza kuzizima kwani Serikali kupitia mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA
imeshatoa baraka zake kwa kituo hicho kurusha matangazo yake na vyombo vyote
vya habari vimeshapewa taarifa juu ya ujio wa redio hiyo ya vijana na watu
wote" Alisema dada huyo ambae ni Miss Tanzania
Studio hizo
zitakazokuwa kwenye mwambao wa fukwe ya Kawe Beach huku mitambo yake ya
kurushia matangazo ikiwa kwenye viunga vya milima ya Kisalawe na katikati ya
Bahari.
" HABARI ZAIDI JUU YA UJIO WA REDIO HIYO FATILIA
GAZETI LA MASKANI BONGO KILA JUMATANO LITAKUWA LINAKUPA MCHONGO NZIMA"
No comments:
Post a Comment