Na Sakina Shabani kwa msaada wa Mtandao
Jimama mmoja huko nchini Newzealand hivi karibuni aliamua kudai taraka kinguvu kufuatia mumewe kushindwa kumfikisha kunako wakati wa tendo la ndo.
Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya nchini humo Mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la moja la Carol aliamua kufikia maamuzi hayo ya kudai taraka yake kutokana na uume mdogo wa mumewe ambao umepungua hadi kufikia nchi moja na nusu.
Hata hivyo mke huyo aliendela kuelezea kuwa awali mumewe alikuwa na uume mkubwa tu lakini kadri siku zinavyozidi kwenda ndipo uume wake kupungua.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA SIKU ZA JUMATANO DAKA KOPI YAKO" UZINDUZI WA CLUB MAISHA NI BALAA MKOANI MOROGORO
No comments:
Post a Comment