TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, December 11, 2013

MENEJA WA MWANAMUZIKI SNURA MUSHI APATA PIGO KUBWA MAISHANI, MAMIA WAMPA POLE..!!!


 safari ya mwisho ya marehemu juma kavu ilikuwa tarehe 09 katika makaburi ya kiislamu kinondoni makaburini, marehemu alipatwa na ajali alianguka ghafla chumbani kwake na kuangukia kioo sehemu ya shingo na kupelekea kifo chake.r.i.p kaka yangu kipenzi juma kavu sisi tulikupenda lakini mumgu amekupend a zaidi....
 Msanii barnabas akifatilia mawaidha ya mashehe wetu makaburini juu ya safari ya kifo.
 shehe akitoa mawaidha makaburini juu ya safari ya kifo.
 Mjomba wa marehemu JUMA NASORO akipokea dua makaburini.
 Mdogo wa marehemu HEMED KAVU akipokeaa dua kutoka kwa mashehe mbalimbali makaburini.
 Shehe akitoa dua nzito makaburini baada ya mazishi.
 kaburi la maarehemu juma kavu.
 Mama wa maarehemu juma kavu akilia kwa uchumgu na baathi ya waombolezaji.
 Dada wa marehemu fatuma kavu akilia kwa uchungu juu ya misba wa kaka yake juma kavu.
 Msaniii snura akiosha vyombo kwenye msiba wa marehemu kaka wa manager wake hk 

NA HII NDIO PICHA YA MAREHEMU KAKA YANGU JUMA KAVU.NI WA PILI KUZALIWA KATIKA FAMILIA YETU.MAREHEMU AMEACHA MTOTO MMOJA MWENYE MIAKA 12.


Na Sakina Shabani

Meneja wa mwanamuziki Snura Mushi mwanzoni mwa wiki hii alipata pigo kubwa baada ya kufiwa na kakaake wa tumbo moja aliyefahamika kwa jina la Juma Kavu.
"Inna lillahi wainna illaihi raajiuun" 
TAREHE 19/12/2013 MJI WA MOROGORO KUKUMBWA NA TUKIO LA KIHISTORIA...!!!

No comments:

Post a Comment