TANGAZO MAALUM
TANGAZA NA SISI
Wednesday, December 11, 2013
HUYU NDIYE MGANGA WA KIENYEJI ALIYEFUMANIWA NA MKE WA MTU GUEST , AJITETEA KUWA MIZIMU ILIMTUMA KUFANYA HIVYO ILI MTEJA WAKE APONE!
Mganga wa Kienyeji kushoto aliyefahamika kwa jina la Dokta Mohamed Simba “King Lion” akilazimishwa kumshika mkono begani mke wa mtu aitwae
Shamila Hawazi Mponda mara baada ya kufumaniwa
Wananchi mbalimbali wakiwa nje ya Guest ya Best iliyopo Ubungo Maziwa wakishuhudia fumanizi hilo...!!!
Watuhumiwa wakipakizwa kwenye Deffender ya Polisi kuelekea kituo cha Polisi Magomeni.
Na Shumba Msitu wa Xdeejayz.
Mganga mmoja maarufu wa kienyeji hivi karibuni alifumaniwa na mke wa mtu Guest maeneo ya Ubungo Maziwa pamoja na kuambulia kichapo cha aina yake.
Tukio hilo la aina yake pia lilishuhudiwa na mamia ya wananchi maeno hayo huku mapaparazi Xdeejayz wakichukua picha za kutosha ili..............HABARI ZAIDI NDANI GAZETI LA MASKANI BONGO.
******************************************
TAREHE 19/12/2013 MJI WA MOROGORO KUKUMBWA NA TUKIO LA KIHISTORIA...!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment