TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, July 7, 2013

CHECK SHANGWE ZA BIRTHDAY YA A.Y


 Leo ni birthday ya mwanamuziki mchapa kazi, Ambwene Yessaya “AY” … Ni mwanamuziki wa siku nyingi akitimiza miaka kadhaa toka kuzaliwa kwake … AY aliandaliwa BASH jana usiku katika ukumbi wa Runway Lounge uliopo katika jengo la SHOPPERS PLAZA, Mikocheni Dar es Salaam.
Katika bash hiyo ambayo watu hawatasita kumpiga ndoo … “kama kawa” … ilihundhuriwa na watu kadhaa, ndugu, marafiki kama Vanessa Mdee, Eskado Bird, MwanaFA, Arthur, Mx, Sallam na wengineo …
AY anaizungumzia siku hii kuwa ni ya furaha sana, anamshukuru kila mtu aliemu-wish “HAPPY BIRTHDAY” especially kwenye mitandao ya jamii hasa twitter … Tazama baadhi ya picha katika Bash hiyo iliyoandaliwa kwa ajili ya birthday yake ;
IMG_8591
Sallam & Vanessa
IMG_8587
Marafiki waliokuwepo kwenye Bday party Ya AY
IMG_8551
IMG_8519
Vanessa MdeeIMG_8465
AY & Peter MoeIMG_8461
IMG_8456
Moet Ilifunguliwa kusheherekea AY kutumiza Miaka yake

No comments:

Post a Comment