TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, July 9, 2013

AGNES MASOGANGE NA BINTI KIZIWI WAKO KATIKA WAKATI MGUMU NA MADAWA YA KULEVYA

 
 
Mwanadada huyu ambaye amejipatia umaarufu kutokana na 'kuuza sura' kwenye video za mastaa mbalimbali wa muziki hapa Tanzania, Agnes Gerald (Agnes Masogange) ni mmoja kati ya Wanawake wawili raia wa Tanzania waliotambuliwa kuwa ndiyo wanaodaiwa kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 6.8 nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania...
NA HABARI NYENGINE TWASIKIA za Chinichini BINTI KIZIWI SANDRA KHAN Aliekuwa Katika Video Ya Msanii Z.ANTO na Pia Alikua Mkewe Ameshanyongwa Tayari Uchina Dahhh...Jamani Haya Madawa Kwa Dada&Kaka Zetu Yamekuwa Mtihani Mkubwa sana...M Mungu Tuepushe Na Biashara Hii...Plz No Drugs Guyz Tupige Vita Kabisa...huyo hapo juu Ni Agnes masogange & na huyu hapa chini  Ni Sandra.a.k.a bint kiziwi

1 comment:

  1. Kwa mchezo huo watakwisha, ushauri wa bure waache tamaa na warudi shule kusoma maana pesa wanazotumia kwenye bata ni zaidi ya Ada.

    ReplyDelete