TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, May 2, 2014

JB AGEUKIWA UHUDUMU WA BAA, YADAIWA HUENDA AKAACHANA NA KUGIZA AKAFANYAKAZI HIYO ANAYOIHUSUDU SANA DUNIANI..! ANGALIA HAPA..!



BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’
BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amezua utata kwenye klabu mpya ya Princess Cassino iliyopo Posta mpya, Dar kufuatia minong’ono kuwa, yeye ndiye mmiliki wake.

Hali hiyo ilijitokeza juzi kati kwenye uzinduzi wa klabu hiyo ambapo msanii huyo ndiye alionekana kuwa mwenyeji kwa kukatiza kila mahali.“Hivi, JB ndiye mwenye hii klabu nini? Mbona kama mwenyeji kuliko wengine. Anakaribisha wateja, anafuatilia watu kama wanapata huduma sahihi,” alisikika mteja mmoja.
JB alilpoulizwa juzi alikiri kuwa mmoja wa waratibu wa mambo ya burudani ya Cassino hiyo lakini si mmiliki.
CREDIT: BOSSNGASA.COM

WANAFUNZI WA SEKONDARI WAJIFUNZA USAGAJI NDANI YA BWENI PICHA ZAO ZAZUA BALAA NDANI YA FAMILIA ZAO..!

Wanafunzi wa Sekondari moja huko Mbagala wamerusha hewani picha hizi zinazowaonesha mapaja yao wazi kwa staili ya usagaji na kupelekea familia zao kuwaka.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

WATOTO WA MIAKA 4 WAONESHANA MAHABA MAZITO YA KULANA DENDA MBELE YA WAZAZI WAO AMBAO NI WANAJESHI LA MAREKANI..!

Watoto hawa ambao wanakadiliwa kuwa na miaka mitatu hadi minne wakilana denda mbele ya wazazi wao hawapopichana na inaelezwa kuwa wazazi wao ni Askari Jeshi huko Marekani
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

KUUAWA KWA KIGOGO WA IKILU WA USALAMA WA TAIFA WANANCHI WAJAWA NA HOFU KUU, WASEMA KAMA WANAUSALMA WANAUWA HIVYO JE? JESHI LA POLISI LAOMBWA KUFANYAMSAKA MKALI KUWAKAMATA WATUHUMIWA..!


Ofisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa nchini Bwana Silvanus Mzeru ameuwawa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha. Mauwaji hayo ambayo taarifa zake zimeibua hofu kubwa, yalitokea jana jioni katika mataa ya barabarani ya karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Habari zinasema mara baada ya kufanyika kwa tukio hilo la kinyama wauwaji hao waliondoka na briefcase ya marehemu huyo ambayo haijajulikani ndani yake ilikuwa na vitu gani.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, kabla ya kuuwawa kwa Mzeru watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki walirusha risasi kuelekea katika gari yake.

"Baada ya risasi hizo kurindima, Mzeru aliendesha gari lake kwa kasi na kwenda kugonga magari mengine yaliyokuwa mbele yake na kisha gari lake kutumbukia mtaroni" Alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo.

Mashuhuda hao waliongeza kuwa wauwaji wa Mzeru walimfuata katika mtaro na kuumua kabla ya kuondoka na briefcase iliyokuwa kwenye gari.

Chanzo: Tanzanidaima Toleo namba 3436 Uk 3 la leo Alhamisi, Mei 1 2014.

Mytake:

Kama watu wa usalama wa Taifa wanaweza kuuwawa kinyama kiasi hicho, vipi kuhusu raia wa kawaida?! Kama raia wa kawaida wamekuwa wanapigwa risasi na kuuwa kwa mabomu kwenye mikutano ya vyama vya siasa na waliopaswa kulinda usalama wao, Kumbe haina tofauti na watu wa usalama wa Taifa?! Kama usalama wa taifa huwa wanalalamikiwa kwa kuteka na kutesa kama ilivyosemwa kwa Dr Ulimboka, Nani yuko salama?
Last edited by Mohamedi Mtoi;

Thursday, May 1, 2014

MASIKINI KAJALA..!! KWA MARA YA KWANZA AFUNGUKA KUHUSU UGOMVI WAKE NA WEMA SEPETU NA JINSI ALIVYOZIMIA MARA BAADA YA KUTUKANWA SANA..!!



Katika Hali ya simanzi na majonzi Kajala Masanja amefunguka kuhusu ugomvi wake na Wema Sepetu na ni kitu gani kilimpata mara baada ya kuwa anataukanwa sana kwenye mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram,  MSIKILIZE AKIONGEA KWA UCHUNGU HAPA CHINI 
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

MAPENZI YA DIAMOND NAWEMA SASA IMEKUWA KERO KWA MASHABIKI KILA BAADA YA DAKIKA 5 WANAKULANA DENDA HAIJALISHI WAKO SEHEMU GANI ANGALIA HIVI PICHA HAPA...!

MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, walijikuta wakionesha upendo wao mbele za watu kwa kudendeka  barabarani, Amani lilishuhudia. 
Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi karibuni maeneo ya Bamaga- Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo ni hatua chache kutoka kwenye Ofisi za Global Publishers ambao ni wachapishaji wa Magazeti Pendwa ya Amani, Risasi, Uwazi, Ijumaa, Championi na Ijumaa Wikienda.
ILIVYOKUWA
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, Wema alikuwa kwenye shughuli zake za kila siku maeneo
hayo ambapo alikuwa ameegesha pembeni gari lake la rangi ya pinki aina ya Toyota Lexus Harrier bila kujulikana alikokuwa ameelekea.

DIAMOND AIBUKA PEKE YAKE 
Ikadaiwa kuwa, msimu ilipigwa kwa mmoja wao na kutonywa kuhusu wawili hao kuwepo eneo hilo kimahabamahaba.
ara Diamond naye alitokea bila kujulikana alikotokea akiwa anaendesha gari lake aina ya Toyota Prado na kuegesha gari lake jirani na alipoegesha Wema.

SIMU YAPIGWA CHUMBA CHA HABARI GLOBAL
Mapaparazi wa Global wakiwa katika kazi za kila siku ndani ya ofisi, 

 “Jamani Global hapa jirani na ofisi zenu Diamond amekuja sasa hivi, lakini inaonekana amemfuata Wema maana Wema alishakuwepo muda mrefu uliopita, njooni mchukue picha si ndiyo zenu au bado mna bifu na Wema tangu siku ile alipokuja kuwafanyia fujo?”
PAPARAZI AWAFIKIA
Haraka sana paparazi mmoja alibeba kamera yenye uwezo wa kupiga picha kwa umbali wa mita hata 250 bila mhusika kushtukia na kutoka nayo.
Kweli, lilikuwa tukio lilionesha kushangaza kwani paparazi alikuta wapita njia wakiwa wanapunguza mwendo ili kuwashuhudia wawili hao walichokuwa wakikusudia kukifanya bila kuogopa watu.

WEMA NJE, DIAMOND NDANI
Kamera ya paparazi wetu iliweza kuwanasa wawili hao, Wema yeye alisimama nje ya gari la Diamond upande wa dirisha la dereva na kuongea na mwandani wake huyo jambo ambalo hakuna mpita njia aliyeonekana kushangaa.
Hata hivyo, mshangao ulianza pale Diamond alipotoa mkono nje na kumshika kiuno Wema huku wakiendelea kuongea ndipo baadhi ya wapita njia nao walipokoleza macho kodo, wengine wakihoji kama aliyesimama nje ya gari ni Wema, nani alikuwa ndani ya gari hilo!
Haikuwa rahisi kupata majibu kwani wengi walikuwa wanashindwa kumwona Diamond. Wengine waliamini kwamba, Wema alikuwa ameshikwa kiuno na mwanaume mwingine ambaye huena akampindua Diamond kama na yeye alivyompindua yule kigogo wa ikulu ‘CK’.
“Sasa mbona Wema anakubali kushikwa kiuno hivihivi tu, haoni watu?” alihoji mpita njia mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la Salome, mwanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar.
DENDA NJE NJE
Katika hali isiyotarajiwa, baada ya kushikwa kiuno, Wema alikwenda mbali zaidi pale alipomwinamia ‘baby’ wake huyo na kula naye denda ambapo naye mwanaume hakufanya ajizi hata kidogo.
“He! Jamani! Naona wenzetu leo wameamua, hata barabarani? Huu ustaa nahisi unawafanya watu wawe vichaa mbele za watu. Mimi siwezi kabisa kudendeka mbele za watu,” alisema mrembo mmoja ambaye hakutaka kutaja jina lake lakini naye ni denti wa Chuo cha Ustawi wa Jamii ambacho kipo jirani kabisa na eneo la tukio.
DIAMOND ACHOMOKA KWA KASI
Baada ya denda hilo lililodumu kwa dakika moja, Diamond alimuaga Wema na kukanyaga mafuta kuondoka katika eneo hilo huku wananachi wakimfuatilia kwa macho yaliyojaa mshangao.

CHANZO: GPL

WAFANYAKAZI WA BANK MOJA MAARUFU ILIYOPO POSTA JIJINI DAR KWENYE JENGO LA MKAPA TOWER WATUPIA PICHA ZA ZINAZOASHIRIA USAGAJI, WASOME WANAKUMBUSHANA MAMBO YA BOARDING SCHOOL ..!

 HAPA WAFANYAKAZI HAO WALIANZA KAMA HIVI OFISINI KWAO....
HAPA SIKU NYINGINE WAKIWA NYUMBANI KWA MMOJA WA STAFU HAO.
Na Sakina Shabani
Faida  ya mitandao ya kijamii imeendelea kuonekana tofauti na zamanii ambapo wananchi walikuwa wanategemea magazeti peke yake kupata habari lakini kwa sasa mitandao hiyo imeendelea kuvumbua tabia chafu za baadhi wa watu wenye mlengwa tofauti ndani ya jamii.
Xdeejayz ambayo imekuwa mstari wa mbele kupambana na tabia hizi chafu kwa kuwaanika hadharani bila vificho wahusika wote wanaopiga picha hizo labda huenda wakakoma kabisa.
Mtandao huu umenasa picha za wafanyakazi wa bank moja iliyopo kwenye jengo la Mkapa tower wakiwa tayari kufanyamapenzi ya jinsia moja kusagana.
Picha hizo zirushwa kwenye mtandao wetu toka kwa mmoja wa stafu wa bank hiyo baada ya kuchoshwa na  tabia yao.
Hata hivyo xdeejayz bado inasaka namba za simu za watu hao kwa ajili ya kubalansi habarai pamoja na kuyaanika hadharani majina yao.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA