TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, November 5, 2015

DOKTA FADHILI WANTED, ASAKWA KILA KONA YA MJI, UTAJIRI WAKE WA KUTISHA WAMPONZA HAJULIKANI HALIPO HADI SASA..!




 
 Msako mkali waanzishwa kila kona, Yadaiwa akimbia Jiji hajurikani alipo, Utajir wake wa kutisha wamponza.
Na Mwandishi Wetu
Katika hali ya kushtua kijana mdogo Dokta Fadhi “Bill Gate wa Tanzania” hatimae amekiona cha moto baada ya  taarifa za kuvuja kwa wingi wa mali zake huku ikielezwa kwenye akaunt zake kukiwa na mzigo wa kufa mtu hali iliyopelekea kusakwa kila kona ya mji.
Habari za uhakika toka kwa mmoja wa marafiki wa Dokta Fadhili ambae ni bingwa wa magonjwa yote pamoja ushauri na kutibu aliyejitambulisha kwa jina moja la Kenny alisema “ Ndugu yangu nyie waandishi sio watu wazuri mmemsababishia matatizo ndugu yetu kwani huko mtaani hakukaliki mastaa mbalimbali wa kike wanavyomiminika kwake na kutaka urafiki nae” Alisema kijana huyo ambae ni muuza duka la madawa
Aidha chanzo hicho kiliendelea kusema kuwa taarifa za kuvuja kwa picha za nyumba zake  Dokta Fadhili pamoja utajiri aliokuwa nao zimesababisha matatizo hayo “ Unajua kama unavyojua baadhi ya mastaa wetu wa kike na watoto wazuri wa mjini wanaopenda  mteremko wa kitonga wamekuwa wakimsaka jamaa usiku na mchana  ikizingatia Dokta mwenyewe pia ni HB basi tabu tupu” Alisema
Hata hivyo kijana huyo aliongeza kusema kuwa kufuatia taarifa hizo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii pamoja na kwenye magazeti mbalimbali kuhusu ubilionea wa  Dokta Fadhili ndipo alipoanza kupokea simu mbalimbali “ Yani tangu mtoe zile habari imekuwa tabu huyu mimi ni rafiki yangu hivyo ameamua kukimbia mji japo apumnzishe akili nje ya Dar” Alisema Kenny bila kutabainisha wapo alipo Dokta Fadhili
Dokta Fadhili siku za hivi karibuni amekuwa kivutio kwa watanzania kutokana na utabibu wake kwa kuwapatia watu ushauri wa kitaalamu ambapo wengi wamepata watoto mapacha, na kwa wale waaliokuwa wanahitaji kupata watoto wa kike au kiume wamepata na hata wagumba pia wamepata watoto hali iliyopelekea kupata umaarufu mkubwa  huku watu wakishindwa kuelewa kama kijana huyo tiba zake ni uchawi au elimu hii ya kawaida.
Gazeti hili lilijairibu kumtafuta Dokta Fadhili kupitia namba yake ya kiganjani lakini hakupatikana hadi gazeti hili lina kwenda mtamboni.
Credit: maskanibongotz

No comments:

Post a Comment