Na Mwandishi wa Maskanibongotz- Uganda
Katika hali ya kushangaza mwanaume mmoja nchini Uganda alijikuta akichezea kichapo cha mbwa mwiz baada ya kujifanya mwanamke na kufanikiwa kupewa kazi za ndani kama housegirl ili kumlea mtoto wa kike wa bosi.
Habari za uhakika toka kwa mwandishi wa maskanibongotz ambae yupo nchini humo alisema njemba hilo ambalo halikufahamika jina lake lilikuwa limeenda kwa afisa mmoja wa taasisi ya Serikali na kuomba kazi za ndani na kwa kutokana na alivyokuwa amejipamba hakika bosi huyo hakuna sababu ya kumnyima kazi ambapo alimpa majukumu ya kuanza kumlea mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8.
Namna alivyokamatwa: Kijana hyo siku alikuwa amelala kwenye chumba chake basi wake wa kike alikwenda kumuamsha ili ampikie mtoto uji na kwa bahati mbaya kijana huyo alikuwa amepitiwa na usingizi mzito ambapo bos wake aliingia hadi chumbani na kumkuta akiwa uchi wa mnyama na kushuhudia nyeti za kiume tena zikiwa zimesimama.
Baada ya kuona tukio hilo Boss huyo alitoka nduki na kwenda kumsimulia mumewe kisha wakamkamata kijana huyo na kumshushia kipigo kwa uwongo.
Credit: maskanibongotz
No comments:
Post a Comment