TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, May 9, 2014

TAHADHARI KUBWA: WAKINA MAMA MNAOPENDA KUVAA MAWIGI KWENYE VICHWA VYENU ANGALIENI MWENYENU HUYU KILICHOMKUTA, HAKIKA UTATAMANI KUBARIKI KWENYE UHALISIA WAKO ULIOUMBWA NA MUNGU..!


Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya kugundisha nywele aka wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gundi pasipo kujua mazara yake.
Watafiti na Madaktari kutoka bara ya ulaya wamethibitisha kuwa gundi hizo zinazotumiwa huwa zinakemikali ambayo zinaleta adhari kubwa katika mwili wa mwanadamu hususani kansa. 


Mpaka sasa madaktari bingwa kutoka ulimwenguni kote bado hawajapata uvumbuzi wa dawa ya kutibu kansa zaidi tu ya kutumia njia ya kuchomelea mionzi ili mgonjwa apate ahueni
SOURCE: SWAHILITZ.COM

No comments:

Post a Comment