TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, May 12, 2014

MSHTUKO MKUBWA, BLOG MAARUFU YA BOSSNGASA .COM YAFUNGIWA NI BAADA YA KUANDIKA HABARI YA UFUSKA WA MTOTO WA KIGOGO WA SERIKALI NCHINI..!

Mmiliki wa Blog maarufu ya Bossngasa .com nchini aitwaye Bossngasa
Na Mwandishi Wetu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua kwa wasomaji wa habari za kwenye mtandao kuna taarifa kuwa blog maarufu ya bossngasa imepigwa pini baada ya kuandika kashafa ya mtoto wa kike wa kigogo mmoja wa Serikali ambae alitupia picha utupu mtandai kisha blog hiyo kuiripo habari hiyo pamoja na kutoa picha za msichna huyo anaesoma chuo kimoja maarufu Mkoani Dodoma.
Habari za uhakika zilizothibitishwa na mmiliki wa blog hiyo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari Mkoani Dodoma Bossngasa alisema" Ni kweli blog yangu iko kwenye mgogoro kwa sasa na familia ya Mheshimiwa huyo na sio imefungwa hapana lakini maofisa wa polisi bado wanafanyia uchunguzi suala hilo hadi watakapokamilisha ushahidi wao kisha itarudi hewani" Alisema mkurugenzi huyo
Aidha Bossngasa aliongeza kusema" Nimesimamisha mwanasheria wangu kushughurikia suala hilo hivyo nawaomba radhi wasomaji wangu kwa usumbufu uliojitokeza lakini Mungu akipenda hivi karibuni itarejea hewani na wataendelea kupata habari kama kawaida na blog yangu ambayo imekuwa ikitenda haki kwa kuandika habari za ukweli na kuzingatia mashart ya uandishi wa habari hivyo haitoyumbishwa na suala hili naamini mwanasheria wangu anafanyakaze yake usiku na mchana hadi kieleweke" Alisema Bossngasa

No comments:

Post a Comment