TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, May 9, 2014

MSANII NISHA ATOA SABABU ILIYOSABABISHA KUMWAGANA NA NAY WA MITEGO, ASEMA ALITAMANI SANA KUOLEWA NAE LAKINI SASA MMH...!


Na Mwandishi wa Xdeejayz
Msanii wa maigizo Salama Jabu maarafu kama Nisha amefunguka na kueleza sababu kubwa iliyomfanya kusitisha penzi lake na mwanabongo flava Nay wa Mitego.
Akiongea na Xdeejayz Nisha alisema" Unajua Nay ndiye mwanaume pekee aliyefanikiwa kuuteka mtima wangu hadi leo hii sipata mwanaume anaejua mapenzi kama yeye lakini sasa nilikuwa napata shida sana kwake" Alisema Nisha
Msanii huyo aliendelea kusema kuwa" Unajua Nay kwenye maapenzi ni balaa anajua sana yani sikuamini kama ningekuja kuachana nae lakini kutokana na mazingira ya yule mtu sikuwa na jinsi nikaamua kumpigia chini" Alisema
Hata hivyo Nisha alizitaja sababu kubwa  zilizopelekea kuchukua uamuzi huo ni pamoja na ukorofi wa mwanamuziki huyo pamoja na matusi matusi ndiyo maana alichukua maamuzi hayo magumu.
SOURCE: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment