Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Mizengo Pimba akiteta jambo na wajumbe.
Ujio wa kituo kipya cha Radio chenye namba 93.7 fm Dar Es Salaam kimeingia kwenye histori ya aina yake kufuatia kuja wakati wa mchakato wa kuwa na Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo ujio wa radio hiyo mpya inayosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya wananchi ni kama mipango ya Mungu kwani itaingizwa kwenye kumbukumbu kama imekuja wakati muafaka wa upatikanaji wa katiba hiyo mpya inayoendelea kujadiliwa huko Dodoma.
No comments:
Post a Comment