TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, March 23, 2014

UJIO WA RADIO MPYA NI KAMA SHOO HIZI ZA T-PAIN NA BEEN MANI EBU ANGALIA PICHA HIZI HARAFU NIAMBIE UNAKUMBUKAJE? NI 93.7 FM DA'SALAAM!

ALIYEKUWA KIONGOZI WA MABAUNSA TANZANIA MAREHEMU KIDUME AKIMKWIDA KIJANA ALIYEMVUA PETE MWANAMUZIKI BEEN MAN ALIPOKLUJA NCHINI MWAKA 2009 KATIKA VIWANJA VYA POSTA JIJINI DAR.
Mwanamuziki T-PAIN toka Marekani akiwa kwenye jukwaa siku alipotua Tanzani ebu jikumbe shooo ilivyokimbiza, kama ulikuwepo lakini ilikuwa noma ni moja kati ya shoo ambazo hazijavunjwa rekodi yake hadi leo nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment