MWALIMU MKUU WA SHULE YA SERIKALI ANASWA AKIJIUZA, ASEMA KUCHELEWESHEWA MISHAHARA NI TATIZO KUBWA..!
Mwalimu akiwa ameduwaa baada ya kunaswa kwenye sakata hilo.
Wakati
Wakristo bado wapo kwenye Kwaresma, mama aliyejitambulisha kuwa ni
mwalimu wa shule ya msingi, amenaswa laivu akijiuza maeneo ya
Mbagala-Zakhem jijini Dar.Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 24,
mwaka huu ambapo awali, wakazi wa eneo hilo waliwatonya mapaparazi watu kuwa kuna danguro kubwa maeneo ya Kizuiani
ambalo limesheheni madadapoa wa kila aina.
No comments:
Post a Comment