TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, July 5, 2013

RAIS OBAMA HAJAWAHI KUTOKA NA MWANAMKE WA NJE NDANI YA NDOA YAKE,MAPENZI YAO YAVUTIA WENGI DAR!

Rais wa Marekani Barrack Obama na mkewe Michell Obama.




Rais wa Marekani Barrack Obama na mkewe Michell,Upendo wa dhati wa kiongozi huyo kwa mkewe umekuwa kivutio kwa watu wengi duniani.




Rais Obama amekuwa akishindwa kujizuia kila amuonapo mkewe hujikuta akimpiga busu hata kumla denda hata kama akiwa kwenye kuhutubia.





Michell Obama kushoto akiwa na Rais Obama ambapo ndoa ya wawili hao imekuwa ya amani na kuwa mfano wa kuigwa na binadamu wote.
 Michell Obama.

Rais  Obama na mkewe Michell Obama.
Na Livingstone Mkoi
Katika hali isiyokuwa kawaida Xdeejayz imenasa taarifa za kushtua juu ya maisha ya Rais wa Marekani juu ya uaminifu wake kwenye ndoa huku akidaiwa hajawahi kutoka nje ya ndoa yake tangu ameoa.
Habari za uhakika toka kwenye matandao mmoja wa Kimarekani ulieleza kuwa kiongozi huyo amekuwa mfani mzuri wa kuigwa na viongozi wengi duniani kote kwa kuwa na uaminifu ndani ya ndoa yake.

Habari zaidi ziliendelea kusema kuwa Rais Obama amekuwa na mapenzi ya dhati kwa mkewe huyo aitwae Michell Obama ambae alianza kuwa na mahusiano nae tangu akiwa chuo kiomja nchini humo walikuwa wanasoma pamoja.
Aidha habari hizo ziliendelea kusema Rais huyo tangu amemuoa Michelle amekuwa nae kila mahara hakuna ziara ambayo amewahi kuifanya bila mkewe hali inayotoa jibu kuwa hajawahi kutoka na kimada nje ya ndoa yake.

Hata hivyo halikadharika tabia yake ya kupenda kutembea na familia yake kwa maana ya mkewe na watoto inadhuhilisha kuwa hana hata kimada nje ya ndoa tofauti na viongozi wengi wa kiafrika ambao mara nyingi husafiri na nyumba ndogo kwenye ziara zao.


No comments:

Post a Comment