TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, July 13, 2013

MJUE WINNIE MBUNIFU CHIPUKIZI ANAEFANYA MAAJABU KWENYE UBUNIFU WAKE

 Huyu mtoto wa kike anajukana kwa jina la WINNIE moja kati ya wabunifu chipukizi wanaofanya vizuri katika game hii ya urembo na ubunifu. hii ni moja kati ya nguo alizozibuni yeye mwenyewe.
kwa picha zaidi.....

 Ni nguo flan ambayo unaweza ukavaa sehemu tofauti na ukatoka tofauti
 Ongera sana WINNIE kaza buti yawezekana ukaja kuwa mbunifu mashughuli kama KHADIJA MWANAMBOKA.





No comments:

Post a Comment