TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, July 13, 2013

KINACHOENDELEA KWENYE USAHIRI WA MADEEJAY NEW MAISHA CLUB

Yale mashindano yakutafuta madeejayz mbalimbali watakao pata ajila ya kudumu katika kampun ya entertaiment masters leo ndio yanaanza rasmi katika club ya kimataifa NEW MAISHA CLUB. vijana mbalimbali waejitokeza kuwania nafasi hiyo je nani atapata nafasi hiyo kwamana wanahitajika vijana wasiopungua kumi.
kwa picha zaidi .......



 Hizi ndio machine zitakazotumika katika usahiri huu
 Muonekana wa eneo la usahiri,mahala wanapokaa majaji na deejayz

 Mtoto wa kike pekee aliejitokeza kushiriki mashindano yakutafuta deejay

 washiriki wakipanga nyimbo zao kabla ya mashindano


 Macameraman wa dtv wakijipanga kuchukua picha za matukio

 Washiriki wakiangalia machine zitakazotumika leo katika usahiri

washiriki wameshajipanga tayari kwa kuanza kwa usahiri. kwa hisani ya www.xdeejayz.blogspot.com
www.hyperhk.blogspot.com   na   www.bossngasa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment