Pages

Wednesday, April 2, 2014

TAARIFA NJEMA JIJINI DAR RADIO MPYA YAACHIWA HEWANI KUANZIA LEO TAREHE 2/3/2014 KAZI KWAKO SASA..!

Na Livingstone Mkoi
Kama wewe upo nyumbani kwa sasa tune namba hizi 93.7 FM ama kama upo kwenye mtandao pia  tune 93.7 fm, ama kama una simu yako hapo tune 93.7 FM. HAKIKA UTAKUTANA NA BURUDANI ZA AINA YAKE NA UTARIWADHIKA MOYO FANYA HIVYO SASA...!

No comments:

Post a Comment