::XDEEJAYZ-TANZANIA::

Pages

▼

Wednesday, April 2, 2014

MAKALIO YA WEMA YAZUSHA BALAA, GAZETI LA MASKANI BONGO LEO TRH 2/3/2014 PATA KOPI YAKO SASA!

 

Na Livingstone Mkoi

Katika hali isiyotarajia mrembo na msanii mwenye nyota ya kipekee nchini kwa kupendwa na mamilioni ya watanzania Wema Isack Sepetu kwa sasa umbo lake limeanza kutia shaka miongoni mwa jamii kufuatia kuongezeka kwa makalio yake kitu ambacho kimezua utata.
Uchunguzi wa kina uliofanywa na gazeti hili pendwa namba moja Tanzania umegundua kuwa watuu wengi wamekuwa wakishikwa na butwaa na kujiuliza maswali yasiyo na majibu kila wanapoona umbo la msanii huyo ambalo limebadilika gafla kwa kipindi kifupi. HABARI ZAIDI PATA KOPI YA GAZETI LAKO LEO MTAANI
 
HABARI ZAIDI PATA KOPI YA GAZETI LAKO ULIPENDALO LEO MTAANI KUJUA MENGI KUHUSU HABARI HIZI ZILIZOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA.
Unknown at Wednesday, April 02, 2014
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.