Pages

Friday, March 14, 2014

LULUL AKILI KUTOA MIMBA KIBAO, LAKINI AAMUA KUZAA KAMA ATAPATIKANA MWANAUME WA KUMUOA NA SI KUMCHEZEA KWANI KESHADANGANYWA SANA..! SOMA HAPA


STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu
. Katika mahojiano maalum na mtandao huu i juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Nadhani maswali yako uliyoniuliza nimekujibu kiufasaha kabisa hilo siwezi kulijibu. MTANDAO HUU unahisi kosa ambalo Lulu hatalirudia tena ni la kutoa mimba, kitu ambacho hataki
" 93.7 FM HIYOOOOOOOOO HEWANI STAY TUNED MWANANCHI"

No comments:

Post a Comment