STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu
. Katika mahojiano maalum na mtandao huu i juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.

" 93.7 FM HIYOOOOOOOOO HEWANI STAY TUNED MWANANCHI"
No comments:
Post a Comment