Pages

Wednesday, January 1, 2014

MSANII NISHA ADAIWA KUCHOROPOA MIMBA!


Na Waandishi Wetu
MSANII nyota wa filamu Tanzania, Salma Jabu maarufu kama Nisha yamemkuta makubwa baada ya habari kuvuja kuwa kumbe sababu ya kuumwa hadi kuzidiwa kitandani, ilitoka na kuchoropoa mimba changa aliyokuwa nayo.

Maskani Bongo lilitonywa na mtu wa karibu wa msanii huyo ambaye yupo ndani ya familia hiyo baada ya kusambaa kwa habari kuwa Nisha aliugua gonjwa la ajabu ghafla katika mitandao ya kijamii na magazeti pendwa.
"HABARI ZAIDI ZINAPATIKANA NDANI YA GAZETI LA MASKANI BONGO MTAANI LEO"

No comments:

Post a Comment