Pages

Wednesday, January 1, 2014

MCHEZA SHOO MAARUFU AKILI UKIMWI KUWATEKETEZA, ASEMA MAPEDESHEE WENGI MJINI WAMEARHIRIKA GONJWA HILO NOMA DUNIANI..!



Na Shumba Msitu

HII ni hatari. Wakati ugonjwa wa Ukimwi ukielezwa kuwa bado hauna tiba, mcheza shoo maarufu katika bendi za muziki wa dansi nchini, Titi Mwinyi ameibuka na kudai kuwa wasichana hao wana wakati mgumu kukwepa vishawishi kutoka kwa watu wenye fedha, maarufu kama Mapedeshee.
"HABARI ZAIDI NDANI YA GAZETI LA MASKANI BONGO LEO MTAANI"

No comments:

Post a Comment