Pages

Thursday, December 26, 2013

MAN WOLTER: STUDIO MPYA ZA COMBINATION MOBILE KUTUMIA MILION 200!


Na Jemsi Luhunga

Prodyuza maarufu nchin John  Vomo Shariza “ Man Wolter”  ambae ni mmilki wa Studio maarufu ya Combination amesema anaenda kufunga mwaka kwa kufanya mabadiliko makubwa kwa kutengeneza studio kubwa ya kisasa pamoja na kununua magari maalum ya Mobile Studio ambayo yote yatatumika kwenye kazi hiyo ya muziki.
KWA HABARI ZAIDI NDANI YA GAZETI LA MASKANI BONGO USIKOSE LIPO MTAANI..!!!

No comments:

Post a Comment