Pages

Thursday, December 26, 2013

AY ASIMAMISHA SHUGHURI ZA MUZIKI KWANZA ILI KUJIPANGA UPYA 2014..!!!






Na Hawamu Juma
Mwanamuziki wa kimataifa Ambene Yesaya “AY” amesema kuwa kwa sasa amesimamisha masuala yoyote yanayohusiana  na muziki na kugeukia mambo mengine.
Akionge na Maskani Bongo AY alisema” Kaka kwa sasa nimesimama sitaki kufanya chochote kunachohusiana na muziki badala yake nafanya mambo yangu binafsi ambayo nisingeweza kuyaweka wazi itakuwa sio poa” Alisema AY
HABARI ZAIDI ZINAPATIKANA KWENYE GAZETI LA MASKANI BONGO

No comments:

Post a Comment