Pages

Monday, August 13, 2012

GOD IS GR8 DR ULIMBOKA AREJEA NCHINI

Kiongozi wa jumuhiya ya mgomo wa madaktari dr Steven ulimboka akiwa amebeba maua,akitokea kwenye matibabu afrika ya kusini kama anavyoonekana kwenye picha akiwa fiti kabisa.Ama kweli Mungu mkubwa.

No comments:

Post a Comment