Pages

Monday, August 13, 2012

CHOZI LA RIHANNA LADONDOKA KWENYE MAHOJIANO NA OPRAH KISA CHRISS BROWN

 Mwanamama mkali wa maswali mazito na ya ndani Oprah winfrey amefanya maojiano na rihanna aliyemfuata kwao barbados.rihanna aliulizwa kuhusu kupigwa na chriss brown alikuwa kama ametoneshwa kidonda vile alitokwa na machozi nakusema kusema"IT WAS EMBARRASSING,IT WAS HUMILIATING, I LOST MY BEST FRIEND.
 Rihanna akiwa na mgeni wake oprah winfrey

oprah akiingia kwa rihanna nyumbani kwao barbados.

Oprah na rihanna kwa gari




Angalia kipande cha mahojiano ya rihanna na oprah yaliofanyika katika kituo cha own

No comments:

Post a Comment