Pages

Friday, June 22, 2012

XTREME DEEJAYZ INAKULETEA TRIPLE BASH,DODOMA DAR,MTWARA KAENI TAYARI


Bash ya kwanza inatarajiwa kutua dodoma mwezi huu wa sita, wakali kutoka xtreme deejayz wamesema wapo tayari kabisa wanangoja tarehe tu watue dodoma kwa mashambulizi pamoja na ma dj wa club maisha dodoma



dj park from X-jeedayz kwenye pozi




DVJ MAJEY from X-DEEJAYZ 


DJ Spar from X-DEEJAYZ

DODOMA GET READY MAMBO YANATUA HAPO SOON


No comments:

Post a Comment