Pages

Friday, June 22, 2012

CLUB MAISHA DODOMA INAOMBA RADHI MASHABIKI WOTE KWAUSUMBUFU UTAKAO JITOKEZA KWA KIPINDI HIKI KIFUPI CHA MATENDENGENEZO,MAMBO MAZURI YANAKUJA


Mkali Dj Abou mkali wa club maisha dodoma,anawaomba washabiki wote kueni wavumilie kidogo kwa kipindi hiki kifupi cha maboresho ya mjengo wetu. tunatarajia kurudi mjengoni soon



DJ Dizo akiwa na washikadau wa club maisha dodoma, anawaomba wanadodoma utulivu kwakipindi hiki cha maboresho ya mjengo, Tunawaomba radhi kwausumbufu wote

No comments:

Post a Comment