TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, September 18, 2012

CRISS BROWN NAE ATOBOA PUA KAMA CHID BEENZ


Ney wamitego afanye remix ya wimbo wake ampake na criss brown?



KAMA ULIKUWA HAUJUI AMA HAUJAWAHIONA.. CHRISS BROWN AMETOBOA PUA.. HII ITAKUWA SI MARA YA KWANZA KWA MASTAA KUTOBOA PUA... ALIANZA MAREHEMU TUPAC SHAKUR, NOW CHRIS BROWN NA KWA TANZANIA NI CHIDDI BENZ... UNADHANI PIN YA PUA INAMAANA GANI?

SILII TENA,NIMESHAANZA KUZOEA MAZINGIRA - LULU


Elizabert michael a.k.a lulu akitabasamu tofauti na mara za kwanza alivyokuwa akipelekwa mahakamani alikuwa ni mtu wa vilio mwanzo mwisho.












 Dr Cheni ,msanii pekee anaeonyesha kujitoa kikamilifu kufuatilia hii kesi kwa ukaribi kuhakikisha Elizabeth Michael (Lulu) anakuwa huru.Apa akiongea na Wakili wake Lulu.

Lulu anaonekana Kupendeza zaidi hasa kunenepa wakati kila mtu anaamini yuko kwenye kipindi kigumu sana pengine kuliko vipindi vyote katika maisha yake tangu azaliwe.Kingine najiulizaga siku zote ile mimba ambayo ilikua ikiongelewa sana imepotelea wapi? Anyways.

Xdeejayz Tuinaungana na Mashabiki wake wengi na wapenda Burudani wote kumuombea binti huyu wa Mzee Michael amfanyie wepesi atimae awe huru tuendelee kupata burudani yake ktk Bongo Muviz.

DODOMA MKO TAYAREEEEEEEEEEEEEEEE,HII INAWAHUSU WAKAZI WA DODOMA.


XTREME DEEJAYZ Wiki hii siku ya jumamosi 22-09 tutakuwa New maisha club dodoma kwenye muendelezo wa triple bash ambayo itafanyika katika club 3 za New maisha club yaani dar dodoma,na mtwara. Dar tayari imefanyika jumamosi iliyopita na wiki hii ni dodoma baada ya dodoma mtwara tunakuja.kitakachofanyika ni burudani ya ngoma kali kutoka kwa madeejay wa xtreme mwanzo kati mwisho, hakuna msaniii wala maneno mengi zaidi ya hyping za kufa mtu kutoka kwa hyperman hk na ngoma kali za video kutoka kwa dvj majay hii sio yakukoa kiingilio ni tsh 10 tu.

Monday, September 17, 2012

YALIOJIRI KWENYE TAMASHA LA NI WAKATI WAKO NA DTV


 Wacheza show wa Snura t,i walifanya kufuru walifunika bovu

 Scopion gal wakiwa back stage wanakula vyombo

 Dogo aslay na bibi cheka wakipewa shangwe zakufa mtu


 Umati kutoka kwenye kila pande ya dar ulikuwa viwanja vya tp kwenye tamasha la niwakati wako na dtv

chezea scopion gal wewe


 Snura t.i alifunika mbayaaaa


 Dj bike na aidan pia walikuwepo


 mashujaa band walikiwasha mbaya na style yao mpya bya dereva wa bodaboda


 Bi cheka akipiga free style


Mratibu wa tamasha la NI WAKATI WAKO NA DTV hemed kavu (HK) akiwa na mtangazaji wa kipingi cha harusini SINTA


 Sharo milionea ni msanii hataree sana, halafu anakubalika sana,show aliopiga ni hatari sana


 Dvj majay na sound man skit wakiweka mambo sawa


Scopion gal walipoteza nao

Sunday, September 16, 2012

NIWAKATI WAKO TOUR YA DTV YAVUNJA RECORD KWA IDADI WATU.


Umati wa watu wafulika leo katika viwanja vya sinza darajani kwenye show ilioandaliwa na DTV atambukayo kama ni wakati wako tour.
























Saturday, September 15, 2012

MAISHA CLUB MTWARA TEAM

 Entertainment Manager... Mr. Cherls kulia akiwa Garden Bar @ Maisha Club Garden Bar


Mr. Cherls akiwa na Dj Mo pamoja na Supervisor Mr. David



HATULALI MPAKA KIELEWEKE - NI WAKATI WAKO TOUR,SINZA DARAJANI JUMAPILI HII


Maandalizi mwanzo mwisho alali mtu mpaka tuakikikishe stage iko tayari leo usiku kucha tunakesha kuweka stage kwa ajili ya tamsha la niwakati wako tour litakalofanyika jumapili hii ya 16 mwenzi wa tisa,wasanii kibao kutumbuiza,tunda man,juma nature,aslay,bi cheka,dogo janja ,pnc,scopion girl,sharo milionear,mahokaz,snura,nk.