TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, October 13, 2015

HII HATARI: MTOTO MCHANGA AONESHA MAAJABU KWA LOWASA, AFANYA MAMBO YA KUSHANGAZA ATAJA JINA LAKE MARA SABA KWA SIKU, WAZAZI WAKE WACHANGANYIKIWA WASEMA HUU NI MPANGO WA MUNGU. MASKANIBONGOTZ INAKUPA A-Z

 


MTOTO ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA GENIUS BOSS NGASA AMBAE NI MTOTO WA MWANDISHI WA HABARI NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA BOSS NGASA MEDIA INAYOMILIKI NA BLOG YA BOSS NGASA NA RADIO MPYA YA NGASA FM AMBAYO ITAZINDULIWA JANUARY MWAKANI AMEONSHA  MAAJABU MAKUBWA KWA KUTAJA JINA LA MGOMBEA URAIS WA UKAWA  EDWAD LOWASA TANGU AKIWA NA SIKU TATU TOKA AMEZALIWA.



Mwandishi wa Habari Boss Ngasa akiwa na mwanae Genius.

Na Mwandishi wa Maskanibongotz-Dodoma

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mji wa Dodoma na vitongoji vyake vimekubwa na mshtuko kufuatia mtoto mdogo mwenye umri wa miezi minne kuongea na kutaja jina la Mgombea Urais kupitia Chama Cha Maendelea "CHADEMA" Bwa Edwad Lowasa hali iliyozusha mjadara mkubwa ndani ya familia hiyo na kuzusha taflani.

Habari za uhakika toka ndani ya familia ya Mwandishi huyo wa habari na mmiliki wa blog ya Bossngasa zilisema mtoto huyo alianza kuonesha maajabu hayo tangu akiwa na siku tatu toka amezaliwa " Ilikuwa usiku wakati familia hiyo ikiwa imelala na mtoto huyo ghafra walisikia sauti nyembamba ilikuwa ikitoka kwenye kinywa cha mtoto huyo iliyokuwa ikimtaja Lowasa Lowasa" Kilisema chanzo hicho

Hata hivyo baada ya kusikika kwa sauti hiyo wazazi wa mtoto huyo  waliogopa sana na hawakuamini kilichokuwa kinasikika toka kwa mtoto wao  lakini walimshkuru Mungu kwa utukufu huo licha ya kwamba hawakujua maana ya tukio hilo la kushangaza.

Aidha katika sauti hiyo pia kuna sauti nyingne ilikuwa ikisikika kwa mbali sana ambayo ilikuwa inasikika kwa shida kutokana na kuwa ndogo lakini kama ilikuwa inasema Rais Rais ukiacha hii ya Lowasa ambayo ilikuwa inasikika sana.

Baada ya mtandao huu wa maskanibongotz kupata habari hizo ulifanya mawasiliano na mwanahabari huyo maarufu Mkoani Dodoma ambae mwanae  huyo amezaa na mtoto wa kigogo "Jina linahifadhiwa" ambae pia dada huyo ni maarufu sana nchini, na alipatikana kupitia simu yake ya kiganjani na kueleza haya.

Na haya ndiyo majibu yake "Ndugu yangu hizo habari naweza kusema ni za kweli isipokuwa sikupenda ziwe ishu sanaaa, kutokana na mimi baba kubanwa na maadili yangu ya kazi ambayo yananizuia kuegemea chama kimoja ila ni kweli huyu mtoto katushangaza sana kutaja jina la Lowasa kuwa Rais" Alisema Boss Ngasa

Hata hivyo baba wa mtoto huyo aliongeza kusema kuwa yeye mwana habari ambae hana chama kila chama ni chake CHADEMA, CCM na vyama vingine vyote vina muhusu hivyo suala la mwanae anaomba lisichukue sura mpya na kumfanya aonekane yeye yupo CHADEMA hayo ni mtoto tu kama Mungu amemonesha hivyo kama Lowasa ni Rais basi ngoja tuone itakavyokuwa.

Credit; Maskanibongotz


Monday, October 12, 2015

WAKATI KAMPENI ZIKIENDELEA MKOANI TABORA DK KAMDEGE ACHAFUA HALI YA HEWA MAELFU YA WANANCHI WAFURIKA NYUMBANI KWAKE KUPATA TIBA ZA ASILI, ANGALIA TUKIO HILI..!

DK KAMDEGE AKIWA KAZINI NA ZANA ZAKE AMBAPO BAADA YA KUWA NJE YA NCHI KWA KIPINDI KIREFU SASA AMEREJEA NCHINI TANZANIA NA HALI IMEKUWA TETE MKOANI TABORA KUTOKANA NA WAGONJWA WENGI WA UKIMWI NA MARADHI YALIYOSHINDIKANA NA WALE WANAOTAKA BARAKA ZA MAFANIKIO KWA KUTENGENEZWA NA MITI SHAMBA.
MITI SHAMBA AMBAZO AMEKUWA AKITUMIA DOKTA KAMDEGE KUFANIKISHA WATU MAMBO YAO

 MITI SHAMBA AMBAZO AMEKUWA AKITUMIA DOKTA KAMDEGE KUFANIKISHA WATU MAMBO YAO
 MADAKTARI TOKA NCHINI JAPAN WAKITHIBITSHA KWENYE MITAMBO DAWA ZA MITI SHAMBA  ZA DR KAMDEGE ZINAZTIBU MARADHI MBALIMBALI IKIWEMO UKIMWI.
 MWANAMUZIKI DIAMOND AKIWA NA MAADAM WEMA NA MENEJA WAKE MARTIN KADINDA, AMBAPO MASTAA MBALIMBALI WAMEKUWA WAKIMTUMIA DR KAMDEGE KUWEKA SAWA MAMBO YAO
Na Mwandishi Wetu
Mganga maarufu nchini Tanzania aliyeiletea sifa kem kem nchi kutokana na kazi yake kutambulika Kimataifa Dk Kamdege ambae ni mwenyeji wa Mkoa wa Tabora amezusha balaa upya mkoani humo baada ya maelfu ya watu kumiminika nyumbani kwake kwa ajiri ya kupata tiba za asili.
Licha ya kampeni kuendelea huku zikiwa zimebaki wiki mbili ili taifa hili limpate Rais mpya watu wengi wenye shida wamekuwa wafika kwa mganga huyo kwa ajiri ya kuweka sawa mambo yao ili maisha yaende sawa.
Akiongea na mtandao huu Dk Kamdege kupitia simu namba 0763-146231 au 0788-44490 alisema " Ndugu yangu ujue nilikuwa kimya muda mrefu sikuwepo Tanzania nilikuwa nchini Kongo na Libya ambako nilienda kikazi hivyo toka nimerudi wiki iliyopita hali imekuwa mbaya kama unavyoelewa mimi nawasaidia sana ndugu zangu watanzania" Alisema
Aidha Mganga huyo aliongeza kusema kuwa anatibu magonjwa yote yaliyoshindikana kama vile Ukimwi, miguu na mikono kufa ganzi, waliokuwa hawana uwezo wa kupata mtoto, kukuza biashara kwa kuing'arisha kwa miti shamba na sio uchawi, Kupandishwa vyeo kwani wapo wasomi wengi wenye elimu kubwa lakini hawapandishwi vyeo hivyo yeye kazi yake kukupatia dawa za miti shamba tu sio tunguri au uchawi ukamloge mtu hapana miti shamba yenye bahati ya mfanikio anayo kwake hivyo mtu ukiwa mahara popote Tanzania au nje ya nchi basi wasiliana nae haraka kupitia simu zake hapo juu.



ZANZIBAR KWALIPUKA MOTO, WATU WAHAHA KILA KONA, WENGI WASHINDWA KUAMINI MACHO YAO, JESHI LA POLISI LAENDELEA NA MSAKO MKALI ILI KUBAINI WANAOHUSIKA, ANGALIA TUKIO HILI..!


 Msanii Manaika Sanga akiwa na mashabiki wake walimuomba wapige picha nao huko Zanzibar ambako yupo kuangalia mwenendo wa  mauzo ya filamu yake Iitwayo Wake Up  pamoja na kuwasaka wezi wa kazi za wasanii kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani humo
Mmoja wa mashabiki wa Manaiki akiwa kwenye picha ya pozi
 Msanii Manaika Sanga akiwa na shabiki wake

 Msanii Manaika Sanga akiwa na mashabiki wake ambao ni wapemba wakifurahia baada ya kumuona msanii huyo live, Manaiki Sanga amejichukulia umaarufu mkubwa na heshima baada ya kutoka kwa filamu ya Wake Up




Msanii Manaika Sanga wiki iliyopita alizikonga nyoyo za mashabiki wake huko Zanzibar baada ya kufanya ziara ya kushtukiza huku umati mkubwa wa watu ukimsonga japo kumshika mkono pamoja na kupiga nae picha za ukumbusho.
Manaiki Sanga ambae toka kwenye mtandao wake wa kijamii anasema kuwa bado anaendelea na msako kwa wezi wa kazi za wasanii ambapo amekuwa akifanya kimya kimya ili kubaini kama kuna watu au mtu atakuwa anahujumu mauzo ya kazi yake mpya ya Wake Up filamu ambayo hadi sasa imevunja rekodi baada ya kuuza nakala nyingi kuliko filamu yoyote.
Aidha msanii huyo aliendelea kutoa angalizo kwa wezi wa kazi za wasanii na kusema msako mkali bado unaendelea kushirikiana na maofisa wa Jeshi la Polisi ambao amekuwa akizunguka nao kila mahara na kama watafanikiwa kumkamata mtu basi huyo jela ina mwita

Sunday, October 4, 2015

KUELEKEA UCHAGUZI MKUUU KINONDONI YAWAKA MOTO, AFANDE HUYU AKINUKISHA KILA KONA VIBAKA, WEZI WATAFUTA PA KUTOKEA WENGINE WAAMUA KUWA WAJASIRIAMALI, WANANCHI WAMPONGEZA..!

Mkuu wa kitengo cha Oparesheni ya kupambana na uharifu Kinondoni Swai Jakob Swai akiwa kazini
 Waharifu mbalimbali waliokamatwa wakiwa chini ya ulinzi mkali, pongezi kubwa kwa Swai ya kujitoa kwa ajiri ya kuwasaidia wananchi.
 Swai Jakob Swai akiwa mbele ya Kito cha Polisi Oysterbay Polisi hivi karibuni.
Na Livingstone Mkoi
Wakazi wa Kinondoni meneo tofauti tofauti wamejitokeza na kumpongeza Askari shupavu mwenye nyota mbili aliyefahamika kwa jina la Swai Jakobu kwa kazi nzuri anayoifanya ya kupambana na uhairifu wa vibaka pamoja na uharifu mwingine kiasi cha kuwafanya kwa sasa wananishi kwa amani.
Wakiongea na gazeti hili watu hao walisema" Jamani kiukweli ni lazima tushukuru huyu Afande Swai amekuwa msaada mkubwa sana kwetu hizi patro anazozifanya mara kwa mara zimekuwa msaada mkubwa sana kwetu" Alisema mmoja wa wakazi wa Kinondoni Mkwajuni aliyefahamika kwa jina la Mama Zai ambae ana miliki Salooni
Aidha wananchi wengine  waliongeza kusema kuwa Afande huyo ambae ni kipenzi cha watu ila ni adui wa mkubwa wa waharifu " Huyu Afande anaijua kazi yake vizuri na huwa hataki masihara awapo kazini ndiyo maana unaona hata vibaka wengi wameamua kuacha kuiba au kuvuta unga kwani huyo jamaa akikukamata hana msalie mtume ni moja kwa moja mahakamani kisha jela, hivyo uadilifu wake umesaidia sana kuondoa uharifu kwa kweli" Alisema Mwita ambae ni askari Jeshi Mstaafu mkazi wa Msasani

Friday, October 2, 2015

MWANAMKE ALIYEBAKWA : WATANZANIA JAMANI MSAIDIENI MAMA HUYU NA MUNGU WOTE WA MBINGUNI ATAWABARIKI NA KUWAONGEZEA NA KUBARIKI KAZI ZA MIKONO YENU, MSANII MANAIKI SANGA AFUNGUA NJIA..!

 Mama huyu ambae kwa sasa anaishi kwenye jumba bovu la Tanganyika Packers  huku akiwa na mtoto mchanga mwenye siku 50 huku mwanae mwingine akiwa na mwaka mmoja.
  Mkuu wa kitengo maalum cha habari za uchunguzi katika kituo cha E-fm Radio Bw Livingstone Mkoi akiwa kwenye kajichumba anakolala mama huyo na kichanga chake baada ya kubakwa
 Hapa msanii na mkurugenzi wa kampuni ya Manaiki Production Manaiki Sanga akimkabidhi mama huyo kiasi cha fedha laki mbili kama msaada wake baada ya kuguswa na tukio hilo


Msanii Manaiki Sanga akiwa amemshika mtoto mkubwa wa dada huyo huku kichanga kikiwa kimelala chini ambapo watoto wote wapo chini ya umri wa mwaka mmoja.
Mwananchi mwingine ambae aliguswa na tukio hilo akitoa chochote kitu kwa mama huyo japo siku ipite.
Na Mwandishi Wetu.
Watanzania mbalimbali Duniani na Jiji la Dar wameombwa kuendelea kumtolea kitu chohcote dada anaishi kwenye jengo la Tanganyika Packers baada ya kukosa mahara pa kuishi huku akiwa na kichanga cha umri wa siku 5.
Mama huyo ambae aliibuliwa na kituo cha E-fm Radio kupitia kipindi cha Ubaoni kwenye Ripoti ya leo ambae alitokea jijini Mwanza alikokuwa anaishi na mumewe baada ya kulazimishwa na dadaake kuolewa hivyo hivyo baada ya maisha kuwa magumu.
Akiwa amejifungua mtoto wa kwanza kwa mumewe huyo akiwa na mwezi mmoja tu mwanaume huyo alianza kumuingilia kinguvu dada huyo bila kujari mtoto akiwa bado mdogo mwanaume huyo amabae ilidaiwa ni mlevi  alikuwa anambaka  hadi mwanamk huyo alipoamua kukimbia mwanza na kuja Dar na kufikia kwenye jengo hilo la Tanganyika Packers  japo ajihifahi kwa muda wakati akisubiri hatma yake ya maisha.
Dada huyo anasema baada ya kuka kwa kipindi flani alihisi ni mjamzito kumbe kule kubakwa na mumewe tayari alikuwa ameshanasa mimba bila yeye kujua kama nadipo hadi juzi alipojifungua bila msaada wowote huku kichanga hicho na mwanae wa kwanza ambae pia ni mdogo wakiwa mazingira sio salama huku waking'atwa na mbu usiku kucha kwa kukosa neti ya kuzuia mbu.
Kama umeguswa kwa mkasa huu wa mtanzania mwenzetu popote ulipo unaweza kumsaidia kupitia namba hii ya simu ya 0713-575718 na Mungu atakubariki. Namba hii ni ya kituo cha E-fm Radio

UKAWA WATIKISA JIJI LA DAR, WAPIGA MIKUTANI MITANO KWA SIKU MOJA, MAELFU YA WANANCHI WAPAGAWA NA SERA ZAKE, BODABODA WAPATA NAFUU YA MAISHA..!


.
.
Toka tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni Ukawa bado wameendelea kusogea sehemu mbali mbali za kuwafikia wananchi na leo Octoba 1, 2015 ilikuwa ni zamu ya wakazi wa jimbo la Kawe Dar es Salaam  katika uwanja wa Tanganyika Peakers Dar es Salaam.
Ni wajibu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hapa nimekuwekea picha za mkutano mtu wangu.
.
Mgombea Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa akiongea na wananchi wa jimbo la Kawe Dar es Salaam.
.
.
.
.
.
.
.
Mwanasheria Tundu Lissu akizungumza na wananchi leo Octoba 1, 2015.
.
.
.
Mbunge John Mnyika akizungumza na Wananchi.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Mwenyekiti wa NCCR, James Mbatia akizungumza na wananchi.
3X6A0041

.
Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), Freeman Mbowe.
.
.
.
.
.
.
.
.
Unaweza uka bonyeza play kusikiliza kile kilichozunguzwa kwenye mkutano wa UKAWA jimbo la Kawe Octoba 1, 2015