TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, July 8, 2014

MMH KWELI MUNGU MKUBWA, MISS UTALL ALIYEPIGA PICHA ZA UCHI AKIFANYAMAPENZI NA MAIKI SANGA AOLEWA, LAKINI MWANAUME HAJUI TUKIO LA PICHA ZA UTUPU ANGALIA HAPA. XDEEJAYZ INAKUPA A-Z..!

 Fthiya ambae anajulikana kama Mrembo wa Facebook akiwa kwenye picha ya udhalilishaji
  Fthiya na Manaiki wakiwa uchi wa mnyama kitandani wakifanya ufuska bila aibu
  Manaiki akizichungulia nyeti za Fathiya kabla ya kuvua nguo na kufanya ngono nzembe

  Fthiya na Manaiki wakifanya riheso muda mfupi kabla ya kuanza kufanya ngono live huku wakijirekodi kutumia Laptop

  Fthiya akiwa stejini siku alipopanda stejini kugombea taji la Miss Utalii Tanzania 

  Fathiya ambae amepinda na hana aibu hasa mzuka wa mapenzi ukipanda


  Mme aliyedaiwa kumuoa Fathiya ambae ni mwenyeji wa Mkoa wa Morogoro akiwa kwenye pozi ambapo Xdeejayz imenasa picha hii toka kwenye mtandao wa facebook wa Fathiya

 Manaiki Sanga maarufu kama Baridabaridani au The Don
Na Sakina Sahabani
Hakika Mungu hamtupi mja wake na hata kama ukiwa na dhambi nyeusi kama mkaa lakini ujapotubu zitakuwa nyeupe kama tharuji hivi ndivyo tunavyoweza kusema  kwa mrembo Fathiya ambae licha ya skendo yake kutikisa nchi ya picha za uchi lakini hatimae amemuomba Mungu msamaha na sasa ni mke wa mtu.
Habari za uhakika zilizonaswa na Xdeejayz Tanzania zinasema kuwa Fathiya ameolewa hivi karibuni siku chache kabla ya mfungo wa Ramadhani na mwanaume ambae hakufahamika jina lake.
Xdeejayz ilifanyajitahada za kumtafuta Fathiya ili kuzungumza lakini kwa bahati mbaya lakini hata hivyo habari zaidi zilisema kuwa mmewe huyo hajui chochote kuhusu mkewe huyo na hajui kama aliwahi kurekopdi DVD ya kusagana na Suzy Magoti na kupiga picha akichezewa nyeti na Manaiki Sanga usiku kucha na kuna shaka kama mwanaume huyo ataona picha za mkewe huyo huenda akajikuta anatoa karata 3 fasta.
SOURCE XDEEJAYZ TANZANIA


Saturday, July 5, 2014

SABABU ZA DIAMOND KUKOSA TUZO ZAWEKWA HADHARANI NA MGANGA WAKE, MKONO WA DVJ PENNY PIA UPO ANGALIA HAP..!

 Dvj Penny akiwa kwenye hisia kali za busu mwanana la Diamond
  Dokta Kamdege akiwa kazini na vifaa vyake vilivyojaa miti shamba tayari kuwasaidia wananchi wenye shida ya mafanikio pamoja na matatizo mengine.




 Na Sakina Shabani
Mganga maarufu aliyejichukulia sifa kibao nchini na nje ya nchi Dokta Kamdege ameibuka na kutaja sababu kadhaa za mwanamuziki Diamond aliyekuwa akiiwakilisha inchi kwenye tuzo za kimataifa za MTV na kuambulia patupu.
Akiongea na gazeti hli juzi mganga huyo ambae kwa sasa anatikisa jiji la Dar kwa kujaza watu mbalimbali wenye shida mganga huyo alisema" Unajuwa kukosa tuzo kwa Diamond kuna mazingira mengi sana ambayo yako chini ya pazia na si vyema kuyaweka wazi yote ila tu mtu mwingine aliyefanikisha Diamond kukosa tuzo ni Dvj Penny ambae kipindi kirefu amekuwa katika majonzi akifanya dua maalum ili Diamond akwame mambo yake" Alisema Mganga huyo
Mganga huyo anaepatikana kwa simu namba 0763-146231 aliongeza kusema kuwa Penny hadi leo hayuko sawa kutokana na Wema kumpora bwanaake huyo lakini ili kupoza machungu inabidi nae amlilie muumba wake ili atoe majibu.
Dokta kamdege amekuwa akiwasaidia watu wengi kwa kuwasaidia kibiashara na kuwa na mafanikio huku akitumia dawa za miti shamba si vinginevyo kama wafanyavyo waganga wengine kwa sasa yupo Jijini Dar kwa kazi hiyo ya kuwasaidia watu na amefikia Kiwalani Jijini Dar.

ALL SHABAB WALIPUA BUNGE NCHINI SOMALIA ILIKUWA BALAA TUPU ANGALIA PICHA HIZ..!



somalia2
Mlipuko mkubwa umetokea na milio ya risasi imeripotiwa karibu Bunge la Somalia wakati wabunge wakiwa katika kikao chao.
Kwa mujibu wa BBC, Ripoti za awali zinasema kuna watu kadhaa wamejeruhiwa kutokana na mlipuko huo unaosemekana umesababishwa na bomu lililolipuka kwenye gari.
somalia
Watu kumi walikufa wakati kundi la kiislamu la wapinganaji la Somalia Al Shabaab waliposhambulia jengo la bunge wiki sita zilizopita.
Kundi la Al shabaab lilipoteza udhibithi katika mji mkuu wa Mogadishu tangu mwaka 2011 na tangu wakati huo limekuwa likiendesha mashambulizi ya mabomu na kufanya mauaji.
Mapema wiki hii Mbunge maarufu Ahmed Mohamud Hayd, aliuawa kwa kupigwa risasi katika mji huo, katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Al Shabaab.

Dr Jose Chameleone ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale inatisha atumia lugha ya kiswahili..!



walewale
Mkali huyu kutoka Uganda ambaye nyimbo zake Badilisha na Valuvalu bado zinapendwa, ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale. Kama kawaida yake ameimba kwa lugha ya kiswahili akichangaya na lugha ya kiganda. Unaweza kuusikiliza na kudownload hapa.

Thursday, July 3, 2014

BREAKING NEWS: MADUKA ZAIDI YA 20 YABOMOLEWA MITAA YA MSASANI JIJINI DAR, ANGALIA HAPA...!

 Meneja biashara wa kampuni ya MEM AUCTIONEERS AND GENERAL BROKERS LTD akizungumza na waandishi wete eneo la tuki na kuelezea jinsi wanavyotekeleza amri ya mahakama.
 Hii ndiyo hati ya amri ya mahakama iliyotolewa kwa ajili ya kuwahamisha wapangaji hao
 Mfanyabishara Moses akijaribu kuokoa vitu vyake bila mafanikio.

 




Habari zaidi juu ya tukio hilo USIKOSE KUSIKILIZA 93.7 E-FM RADIO JIONI YA LEO  ILI KUJUA NINI KIMETOKE..!

Tuesday, July 1, 2014

MHESHIMIWA SHABIBY AZUSHA BALAA KUBWA MKOANI SINGIDA WATU WAPIGWA NA BUTWAA, WAFANYABISHARA WENZAKE WATOA KAURI NZITO JUU YAKE XDEEJAYZ LIVE..!

 Picha hii kwa mbali ikionesha moja ya mabasi ya Mh Shabiby yanayozusha balaa nchini kote.
 Moja ya mabasi mapya ya mwendo kasi yakiwa barabarani toka Dodoma kuja Dar. 

  Picha hii imepigwa jana Mkoani Morogoro kama inavyoonekana wananchi wakigombe kupanda basi la Shabiby linaloenda kasi na salama kuliko basi loloteni nchini huku ndani yakiwa na vifaa maalum vya kujikinga mara endapo itatokea ajali.



 Mh Waziri Mkuu kiwa na Mh Shabiby ambae amendelea kuwa gumzo kutokana na kuanzisha safari nyingine mpya ya Dar Singida.
Na Livingstone Mkoi
Mbunge wa Gairo Mkoani Morogoro Mh Ahamed Shabiby ametia hofu kubwa kwa wafanyabishara wenzake baada ya kushusha mabasi mengine mapya ya mwendo kasi ambayo yameanza safari kwenye luti mpya ya Singida to Dar na.

Habari zilizonaswa na Xdeejayz  zimesema hatua hiyo ya Mh huyo kuleta mabasi mapya kwenye njia hiyo iliyokuwa inasua sua muda mrefu kwa kukosa usafari wa uhakika kumepelea wafanyabishara wengine kusitisha huduma kutokana na kukosa abiria ambao wote hukimbilia kwenye mabasi hayo mapya.
Mabasi hayo ambayo ndani yake yana vyoo, yanaviaa maalum vya kujikinga na ajali itokeapo huku yakienda kasi kuliko mabasi yoyote yapitayo njia ya kanda ya kati.
Hata hivyo kwa mjibu wa meneja wa kampuni ya Shabiby aliyejitambulisha kwa jina la  Saidi Shabiby alisema" Tumetimiza ahadi yetu tuliyokuwa tumeitoa kwa wananchi wote wa wanaofanyasafari zao Kanda ya Kati baada ya kukosa usafiri wa uhakika muda mrefu hivyo tunaamini kwa ujio wa mabasi haya utasaidia maendelea kwa wananchi hao" Alisema

Kama ulimis mchezo wa Algeria vs Germany angalia video ya marudio hapa


article-2675719-1F49C4AC00000578-174_964x347Algeria jana usiku iliungana na Nigeria kuwa timu za mwisho za Afrika kuaga kwenye mashindano ya kombe la dunia nchini Brazil.
Algeria walifungwa na Ujerumani 2-0 kwenye mchezo wa raundi ya 16 bora