TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, April 1, 2014

SHOGA LA KIARABU LATIKISA KARIAKOO JIJINI DAR, LINAJUA MAPENZI KAMA JINI LIMESHAVUNJA NDOA NNE HADI SASA EBU ANGALIA PICHA HII HARI YA HATARI YATANGAZWA..! XDEEJAYZ LIVE


Hili ndilo shoga la kiarabu ambalo limekuwa tishio sana maeneo ya Kariakoo huku hari ya hatari ikitangazwa.

MAAJABU MAKUBWA, RAIS OBAM ATUMIA SIMU SHILINGI ELFU 45 ZA KITANZANIA, WAKATI WAKO WATANZANIA WANAOTUMIA SIMU HADI ZA MILIONI TANO..!

Hii ni noma sana angalia hapa Rais wa Dunia akisoma ujumbe uliopo kwenye simu hiyo huku walinzi wake wakimtizama.

MABASI YA MHESHIMIWA SHABIBY YAZUSHA BALAA NCHINI WANAINCHI WAPIGWA NA BUTWAA NA KUSHINDWA KUAMINI ANGALIA HAPA..!

Hayawi hayawi yamekuwa,zile basi zetu tulizokuwa tukizisubiri kwa hamu na kwa muda mrefu zimeshafika katika bandari ya mombasa nchini kenya. Kwa hiyo kampuni ya Shabib  inawaomba wadau wake wa mikoa yote ambayo wamekuwa  wakitoa huduma za usafiri kukaa mkao wa kula kwani utaratibu wa kuzitoa bandarini umeshakamilika na tayari zimeshavuka mpaka kuja nchini Tanzania.
PIA IJUMAA HII KUTAKUWA NA PARTY YA UZINDUZI WA MABASI HAYA MJINI DODOMA ITAKAYOFANYIKA ROYAL VILLAGE KUANZIA SAA MOJA NA HAKUNA KIINGILIO, NA KUTAKUWA NA WASANII KIBAO, USIKOSE WA TANZANIA.
 
 

RADIO MPYA HIYO HEWANI, UZINDUZI WAKE KUFURU JIJINI DAR WAHESHIMIWA WABUNGE WATOA PONGEZI KWA WAMILIKI WAKE JIJI LA DAR KUSHIKWA NA HOFU KUBWA..!

 Mafundi toka Ujerumani wakiwa kwenye hatua za mwisho kufunga mitambo hiyo hivi karibuni
 Naibu Waziri wa Mawasiliano Mh January Makamba akiwa na Mh Hemed Shabiby Mbunge wa Gairo ambao waheshimiwa hao wamepongeza ujio wa radio hiyo mpya inasubiliwa kwa hamu kubwa na wananchi.

  Vifaa vya ndani radio hiyo ya kisasa itakayokuwa inapatikana masafa ya 93.7 fm.


  Chumba cha ON AIR CHA 93.7 FM kama kinavyooneka kwa ndani.
 Na Livingstone Mkoi
Kituo kipya cha radio kitakachopatikana masafa ya 93.7 Fm Jijini Dar siku zake zinahesabika kuanzia sasa kabla ya kuwafikia wananchi wote Tanzania.
Kwa mujibu wa mmoja wa wakurugenzi wa kituo hicho aliiambia Xdeejayz kuwa" Aah tunamshukuru Mungu sehemu kubwa ya maandalizi ni kama imeisha na tuko kwenye hatua za mwisho kuiachia hewani ili mashabiki wapate kile kilichokuwa kimekosekana kwenye radio hizi nyingine" Alisema Mkurugenzi huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake kwa madai kuwa bado ni mapema sana.
Aidha kigogo huyo aliongeza kusema kuwa watafanya uzinduzi kwa mashabiki ili kuwatendea haki" Unajua mshabiki ndiyo wasikilizaji hivyo ni vyema tukawapa kipaumbele wao na sio siku nyingi tutafanya uzinduzi rasmi ili wapate nafasi ya kuwa karibu na radio yao" Alisema
Katika hatua nyingine mwishoni mwa juma waheshimiwa wabunge Jijini Dodoma walipongeza ujio wa radio hiyo mpya ikayoanza kupatikana zaidi ya mikoa sita kutokana na mitambo yao kuwa ya kisasa na yenye nguvu kubwa.

WASANII BONGO MOVIE WAMNANGA JACKLINE WOLPER UKUMBINI MMH NI MANENO MAZITO ANGALIA HAPA WALICHOMWAMBIA..!

 XDEEJAYZ: Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini.
  XDEEJAYZ: Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini.
 Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wasanii bongo movie mwishoni mwa juma kwenye pati ya kundi hilo walitumia muda mwingi kumnanga msanii mwenzao Jackline Wolper eti anakisogo kama katuni Madenge.
Xdeejayz ambayo ilikuwepo ukumbini ilishuhudia wasanii wakimsema mwenzao kama hivi" Huyu nae kujishaua kwanza bichwa kama madenge angalia kichogo chake kule" Alisema mmoja wa wasanii wakubwa tu
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA


KUMBE MR NICE ILIKUWA ALIWE KIBOGA KISA KIKIWA MKE WA MTU, LAKIBI MUNGU AKASAIDIA AKIISHIA KUPASULIWA VIBAYA TAARIFA ZAKE HIZI HAPAKJN/RB/2698/014- SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI.

Na Sakina Shabani
Ni ukweli kwamba Mungu alisaidia tu kitendo cha Mr Nice kupigwa na imekuwa nafuu kwake kuliko tukio ambalo huenda lingekuwa baya sana kwenye maisha yake la kuliwa kiboka kwa vijana waliokuwa wamepanga kumdhalilisha mwanamuziki huyo mwenye heshima kubwa Afrika Mashariki na kati.
Baada ya gazeti moja jana Jumatatu kutoa taarifa za kupigwa kwa Mr Nice kisa kikiwa mke wa mtu Xdeejayz imezama ndani kufatia ishu hiyo na kupata mkanda mzima toka kwa watu walioshuhudia tukio hilo waliiambia Xdeejayz kuwa ' Jamani huyu kijana anapaswa kumshukuru Mungu kwa adhabu hii ya kupigwa kuliko nia waliyokuwa wamepanga kumfanyia ya kwenda kumla uloda kisha kumpiga picha hizo za aibu" Alisema mama huyo ambae alimuonea huruma sana mwanamuziki huyo wakati akipewa kipigo
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

MASKINI DIAMOND NI KWELI AMEGONGWA NA GARI NIGERIA HALI YAKE SIO NZURI WATANZANIA TUTEME MATE CHINI, WEMA AANGULIA KILIO BAADA YA KUPIGIWA SIMU NA XDEEJYZA NA KUPEWA TAARIFA HIZO..!


Habari tulizozipata hivi punde ni kua Msanii Diamond aliyeponigeria amepata ajali mbaya na kuvunjika miguu yake yote miwili. Habari tulizozipata kutoka chanzo makini kinasema kua ajali hiyo ilitokea eneo la ouagadugu katikati ya Nigeria wakati Diamond alipokua akivuka Barabara.
Got ya!!!  Lol.



Hata hivyo baada ya taarifa hizo Xdeejayz jana usiku ilimtafuta Wema Sepetu kupitia simu yake ya kiganjani na ili kujua ukweli wa taarifa uvumi huo ambapo kumbe Wema mwenyewe alikuwa hajui kitu ambapo baada ya kufikishiwa tu taarifa hizo basi alianza kulia kwa sauti ya juu tena kwa uchungu kisha kukata simu yetu.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA