TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, February 4, 2014

MAAJABU WA YESU FEKI ADAIWA NI BALAA KWA BANGI NA WACHUMBA WAZURI, WATU WASEMA HUU NI MWISHO WA DUNIA KABISA...!


Mtume Inri Cristo (66) mwanzilishi wa Kanisa la Waraka Mweusi (Suprema Ordem Universal da Santíssima Trindade ambae kwa sasa ndiye anayejitangaza kama Yesu mweusi amedaiwa kuwa licha ya mambo yote anayoyafanya sasa na kusujudiwa kama mtume batili wa Mungu lakini kumbe starehe yake kubwa ni wanawake wazuri na kuvuta bangi.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KESHO USIKOSE KOPI YAKO"

RAIS OBAMA AKATAA WALINZI AFUMWA MTAANI PEKE YAKE ALIKUWA ANATAUFA SANDWICH WANAICHI WAPIGWA NA BUTWAA..!!!

Rais Barack Obama hivi karibuni alikataa walinzi na kuamua kutembea mwenyewe kwenye mi mitaa yenywe wahuni  wengijambo lililoleta hofu kwa wananchi wengi huku wakipigwa na butwa"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KESHO JUMATANO USIKOSE KOPI YAKO"

HII NDIO VIDEO YA SNURA ILIYOFUNGIWA KWA KILE KINACHOSEMEKANA INASHAWISHI NGONO...


Monday, February 3, 2014

MREMBO MAARUFU AELEZA JINSI UKIMWI UNAVYOMTESA, ATAMANI SIKU ZIRUDI NYUMA AACHE UMALAYA, AELEZA JINSI ALIVYOTINGISHA ENZI ZAKE DODOMA, SINGIDA VIGOGO KADHAA BUNGENI WALIVYOMFANYA NYUMBA NDOGO YAKE..!

Na Mwandishi Wetu-Singida
Ama kweli majuto ni mjukuu ndivyo wananchi wa Mkoani Singida wailaya Manyoni wanavyosema kufuatia msichna mmoja ambae alikuwa mrembo maarufu sana kwenye miko ya Dodoma na Singida ambae kwa sasa anateseka ile mbaya kwa gonjwa hatari la Ukimwi.
Habari toka Mkoani humo zinasema kuwa msichana huyo aliyfahamika kwa jina la Light Nyamwendo "38" enzi za ujana wake alikuwa moto wa kuotea mbali kufuatia umaaru na urembo aliokuwa nao huku vigogo mbalimbali wakiingia kwenye mahusiano nae na kumfanya nyumba ndogo yake.

Kwa mujibu wa kakaake aliyefahamika kwa jina moja la AZIZI aliieleza Xdeejayz kuwa dadaake alikuwa mzuri sana na hapo anapoonekana sasa kama mzee ni marazi yamemaliza tu " Dada alikuwa kiboko wewe Dodoma nzima na Singida walimwita malkia kwa uzuri wake hali iliwafanya wanaume wengi kutumia gharama zote kumnasa lakini sasa hivi hali ni mbaya kiukweli anasubiri umauti tu" Alisema Azizi
Hata hivyo msichana huyo amekuwa akiteseka vibaya usiku na mchana akilia na kutubu dhambi zake huku akitamani siku zirudi nyuma ili awe makini na maisha yake kutokana na machungu anayoyapata kutokana na ugonjwa huo. Na mara nyingi amekuwa akiwataja kwa majina waheshimiwa hao aliotembea nao kwani ndiyo anaodhani wamemwambukiza UKIMWI na anaseme waheshimiwa wengine walishafariki na wengine bado wapo hadi leo hii Bungeni na ndiyo wanaotembea na wanafunzi mbalimbali wa vyuo vya Dodoma.
"KWA HABARI MAKINI USIKOSE GAZETI LA MASKANI BONGO KESHO JUMATANO MTAANI "

WASANII BAADHI BONGO MOVIES WAJIUNGA NA CCM, MH RAIS KIKWETE AWAPA KADI ZAO MIGUNO YATAWALA..!



  JB akizungumza machace kwa niaba ya wenzake mara baada ya kutamka kuwa wamejiunga na chama cha CCM.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wasanii mahiri wa Filamu hapa nchini,mara baada ya kuwakabidhi kadi za kujiunga na chama cha CCM jioni ya leo. 
Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya gitaa Msanii maarufu wa jijini Mbeya,Petrol Abel a.k.a Awil,anaeshuhudia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na Katibu wa Uchumi na Fedha,Bi.Zakia Meghji.


MFANYABIASHARA MAARUFU AJITIA KITANZI KISA PENZI LA HOUSE GIRL WAKE, MKEWE ALIMFUKUZA BILA KUMPA TAARIFA...!XDEEJAYZ KAZINI




Na Mwandishi wa Xdeejayz
Mfanyabishara mmoja maarufu Mkoani Dar aliyefahamika kwa jina la Saru mwenye umri wa miaka 20 amejitia kitanzi kisa ikidaiwa penzi la House Girl wake.
Habari za uhakika zilizonaswa na Xdeejayz zilisema kuwa kijana huyo ambae anaishi maeneo ya Mbezi Luisi kwa Yusufu alifanyatukio hilo siku ya Jumamosi mchana baada ya mkewe kudaiwa kumfuka msichana wake wa kazi bila ridhaa yake.
"HABARI ZAIDI JUU YA TUKIO HILI USIKOSE GAZETI LAKO PENDWA LA MASKANI BONGO JUMATANO HII YA TEHE 5
"