TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, July 31, 2014

MSANII ODAMA AWACHEFUA MASHABIKI WENGINE WAAPA KUTOANGLIA PICHA ZAKE ATAKAZOIGIZA, TIZAMA HAPA..!







Mashabiki wa msanii Odama wamemtolea uvivu msaniii huyo kwa kusema kuwa kuanzia sasa hawataangalia picha zake kutokana na malingo aliyokuwa nayo kwa mashabiki wake na jamii kwa ujumla. Odama ambae huwa hapokei simu yoyote licha ya kwamba mashabiki wengi wamekuwa wakitamani japo kumsalimia, wakiongea na Maskanibongotz mashabiki wa msanii huyo walisema" Kaka tunakwambia ukwelui Odama amekuwa msanii pekee mwenye malingo kwa watanzania bila kuelewa kama wanamfanya awe staa ni hao mashabiki wake  lakini cha kushangaza ni namna anavyowadharau" Alisema Happynes Magimba
Hat hivyo mtandao huu ulimtafuta msanii huyo ili kujibu tuhuma hizo lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana.

No comments:

Post a Comment