TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, May 14, 2014

TOBA YARABI, MZUNGU WANGU ANAPENDA NIPIGE PICHA ZA UTUPU- REHEMA FABIAN XDEEJAYZ LIVE!





Aliyekuwa mshindi wa shindano la Miss Kiswahili Mkoa wa Temeke Rehema Fabian ambae kwa sasa anaishi nchini Hong Kong na bwana wa kizungu amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya apige picha za nusu uchi ni mzungu wake ambae anapenda afanye hivyo kwani ndiyo burudani yake.
Akiongea na Xdeejayz Tanzania Rehema alisema" Unajua kama unavyoelewa maadili ya nchi yetu hayaendani na ya wenzetu nje hivyo ndiyo maana watanzania wanaweza kunchukulia mimi nina gtabia mbaya lakini sio hivyo nafanya hiyvo kwa ajir ya matakwa ya husband wangu anapenda kuniona nikiwa na vichupi kama hivi" Alisema Rehema
SOURCE: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment